NBS acheni dhuluma, walipeni Makarani hela zao

NBS acheni dhuluma, walipeni Makarani hela zao

Watu Wengine sijui mnakujaga JF kutafuta mabwana? Yaan mpo kuchafua tu. We mi unanijua mpaka useme ndio Mimi? Ningekua ni Mimi ningeshindwa nini kujitaja? Kwani kua karani wa Sensa dhambi?

Sio kila mtu anatumiaga mashoga bana, katafute soko kwengine.
6CC91969-B270-4F07-A0F3-19CC056AB53F.jpeg
 
Watu Wengine sijui mnakujaga JF kutafuta mabwana? Yaan mpo kuchafua tu. We mi unanijua mpaka useme ndio Mimi? Ningekua ni Mimi ningeshindwa nini kujitaja? Kwani kua karani wa Sensa dhambi?

Sio kila mtu anatumiaga mashoga bana, katafute soko kwengine.
Sasa matusi ya nini karani? Kamnunie aliyekunyima pesa yako ya sensa...😆😆😆
 
Hii nchi inavijana wa hovyo sana na mtabakia kulalamika hvyohvyo mpaka kiama. Hizo nafasi Bora wangepewa waalimu tu wanajua system ya serekali kwenye ulipaji coz kunakuchelewa lakini haki ya mtu ataipata.
Hata kama mtu anakandamizwa ulitaka akae kimya kisa Hana ajira?
Walimu wana inferiority complex ndio maana mnawapelekesha mnavyotaka
 
Tupe jina la huyo mdogo wako tumlipe hiyo posho
 
Pesa huwez kupewa kabla ya kazi , wakijitahd Sana utalipwa after one week , ndo mana walisema wataprovide tea asubh na msosi wa mchana , na wakatoa Rai inabd ujipange kwenye malazi na chakula cha usiku wakat ambapo wanaandaa malipo , asa we sku mbili tuu unataka upewe mpunga wote , ukichora na kishikwambi cha watu ...!!
 
Kwa siku wanapata 40,000/=. Na Wanapewa chakula.
Sasa siku ya pili hawajalipwa. Pili hiyo 40,000 ni baada ya kua 10,000/~ imechukuliwa hiyo unayosema ya chakula.
 
Back
Top Bottom