Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Nimekwambia kwa katiba ya ccm muda wa mwenyekiti ukiisha lazima ang'atuke kupisha mwingine, na kama sio hivyo atatolewa atake asitake. Afu wewe unanambia atakuwa hawezekani "kung'olewa".. hawezekani kung'olewa kivipi na utaratibu wa kutoka au kutolewa upo kwa mujibu wa katiba? Mbona hauelewi na haueleweki kijana. Au akili yako bado ipo katika mfuko wa mwenyekiti wa chama.Kwa hiyo akikengeuka kama yule kichaa kung'olewa haiwezekani?
Kwani Mbatia katolewa kwa sababu amepitiliza muda wake kikatiba?Nimekwambia kwa katiba ya ccm muda wa mwenyekiti ukiisha lazima ang'atuke kupisha mwingine, na kama sio hivyo atatolewa atake asitake. Afu wewe unanambia atakuwa hawezekani "kung'olewa".. hawezekani kung'olewa kivipi na utaratibu wa kutoka au kutolewa upo kwa mujibu wa katiba? Mbona hauelewi na haueleweki kijana. Au akili yako bado ipo katika mfuko wa mwenyekiti wa chama.
Kwani Mbatia ashakaa miaka mingapi kwenye kiti? na je kwa muda wote aliokaa kwenye kiti unajua ashafanya mambo mangapi ya kukihujumu chama na wakamvumilia? Fikiria mtu ashakaa kwenye kiti kwa zaidi ya miaka 10 afu hapo hapo ulitegemea wangeendelea kumvumilia. Kwa ccm hauwezi kupitisha ukomo wa miaka iliyoainishwa kwenye katiba yao. Lakini pia hakuna mwenyekiti ambae anaweza kukihujumu chama chao ili kumpa nafasi adui (wapinzani) aje akiangushe chama. Lakini kwa viongozi wa upinzani kuhujumu vyama vyao kwa sababu ya masilahi yao hilo ni kawaida, ndo maana hawa wamethubutu kuchukua hatua ila upande wa pili mtu kapokea mshiko akamuingiza waliemwita fisadi agombee kupitia chama chake huku akiwaacha wale waliopigania chama kwa jasho na damu wakimpigia deki mgombea wa mchongo alielengeshwa mahususi na ccm (hiyo ni hujuma kubwa kwa chama)Kwani Mbatia katolewa kwa sababu amepitiliza muda wake kikatiba?
Ametolewa kwa kukengeuka
Sasa nauliza CCM inaweza kumng'oa mwenyekiti wake kabla hajamaliza miaka yake ya kikatiba endapo atakengeuka?
Je ccm mkuu unaweza jaribu hilo, au utaishia kufukuzwa ka yule jasusi mbobezi aliye hamia upinzani.Pale chadema ukitaka kufanya jaribio kama hilo unaweza jikuta unafanana na Chacha Wangwe.
angalizo mkuu: mtu kujali tumbo lake kwanza ni human nature ila shida huja pale Miwani Makengeza bin Mbowe alivyozidisha ulafi hashibi ruzuku na haachii kiti chama mali yake na madem wote wake!!Mbowe huwa anao msimamo ila pia huwa anajali sana maslahi yake kifedha.
Kule ukimchallenge mbowe unaitwa PANDIKIZIHiki ndicho chama chenye demokrasia ya kweli kwenye nchi hii. Vyama vingine ni Mali za wenyeviti na hawagusiki. lakin NCCR kwa historia yake wameonesha ukomavu wa kisiasa na kuwa hakuna aliye juu ya Sheria.
Bila kumtaja Mbowe au Chadema huwezi kulipwa ujira wako?Ni jambo jema
Akina Tundu Lisu nao wampige stop mangi Mbowe
Akili za uvccm hizo.angalizo mkuu: mtu kujali tumbo lake kwanza ni human nature ila shida huja pale Miwani Makengeza bin Mbowe alivyozidisha ulafi hashibi ruzuku na haachii kiti chama mali yake na madem wote wake!!
hukumbuki kule Dom ile skendo ya ulevi na madem akaumia I think ? anaekumbuka vizuri atukumbushe!
Umesahau yaliyomkuta Ndugai?Pale chadema ukitaka kufanya jaribio kama hilo unaweza jikuta unafanana na Chacha Wangwe.
Mbowe akienda Ikulu , ni mzalendo...Zito akienda Ikulu, ni msaliti...hahaha...Upinzani wa Tanzania hopless kabisa.Mnachekesha nyie mbona wamemblock asigombee Urais tokea 2005?? Kama wanamuogopa je Lissu angechukua fomu ya Urais?
Anyway hao kina Simbeye na Selassini waliondoka CHADEMA kwa matusi kibao Leo hii nao wanalialia kuhusu Demokrasia NCCR??
Mtazunguka wee ila ukweli ni mmoja tu, upinzani ni CHADEMA pekee.
Kufa siyo adhabu ila ni kuitwa mbele za haki mtu mwenye imani thabiti ya Mungu huwa haogopi kufa tatizo chadema akili hamnaMbowe haeleweki kama MAGUFULI aliyepora KOROSHO ZA WATU HUKO KUSINI NA KUWAITA KANGOMBA!
Magufuli alipora uchaguzi ili alitangaza raisi wa maisha . Hahaha mungu amemfyeka fyuuu. Asante mungu kwa wema ulioitendea nchi yangu hapo 17.3.2021
Nikulipe mini mungu
Blah blah kwa hiyo mbatia kosa lake ni kukaa muda mrefu?Kwani Mbatia ashakaa miaka mingapi kwenye kiti? na je kwa muda wote aliokaa kwenye kiti unajua ashafanya mambo mangapi ya kukihujumu chama na wakamvumilia? Fikiria mtu ashakaa kwenye kiti kwa zaidi ya miaka 10 afu hapo hapo ulitegemea wangeendelea kumvumilia. Kwa ccm hauwezi kupitisha ukomo wa miaka iliyoainishwa kwenye katiba yao. Lakini pia hakuna mwenyekiti ambae anaweza kukihujumu chama chao ili kumpa nafasi adui (wapinzani) aje akiangushe chama. Lakini kwa viongozi wa upinzani kuhujumu vyama vyao kwa sababu ya masilahi yao hilo ni kawaida, ndo maana hawa wamethubutu kuchukua hatua ila upande wa pili mtu kapokea mshiko akamuingiza waliemwita fisadi agombee kupitia chama chake huku akiwaacha wale waliopigania chama kwa jasho na damu wakimpigia deki mgombea wa mchongo alielengeshwa mahususi na ccm (hiyo ni hujuma kubwa kwa chama)
Siwezi kuendelea kubishana na mmalawi aliejifunzia kiswahili Mbeya, ni lazima tutapishana kiswahili tu, na hautonielewa kamwe.Blah blah kwa hiyo mbatia kosa lake ni kukaa muda mrefu?
Ingelikuwa ni kiongozi kutoka zanzibar mungelipiga makelele sana, na kila siku munamtukana zitto kabwe kwamba anatumiliwa sasa kiongozi mkuu wa taifa Chadema anashinda Ikulu, alitoka jela break ya kwanza kwa mtesi wake., leo mbowe ana tofauti gani na kina kafulila, waitara na wengineWewe kwani unahisi nini? Labda kuna kitu unajua utuambie
Kinachotakiwa kuulizwa kwa hiyo serikali yako ni ni kwa nini serikali imfutie mashtaka mbowe ambayw mahakama ilisema ana kesi ya kujibu na kumuita Ikulu?
u must be a genius! au huwa unapiga ramli mkuu?! umejuaje boss? but I admit umesema kweliAkili za uvccm hizo.
Muulize Kolimba alipogusa maslahi ya viongozi wakuu wa ccm yaliyomkuta tena live mbele ya wajumbe wa Kamati kuu mzee wa watu akadondoka chini puu! Mpaka leo amebaki historia!Pale chadema ukitaka kufanya jaribio kama hilo unaweza jikuta unafanana na Chacha Wangwe.