π π π π π nataka kujua GDP za hizo nchi kwanza zote na za KenyaHawa sijui watatoka vipi, tatizo uzembe, wana kila kitu na kila sababu za kutoka, lakini uzembe ndio zao, ujamaa uliwalemaza na itachukua muda sana, afu wabishi huwaambii kitu, maana hawaambiliki.
π π π Tanzania tupo zaidi ya 58 million while Kenya ni 47 million so what do you expect on per capita index π.? Ethiopia πͺπΉ na nchi nyingi tu hapo zimeipita Kenya kiuchumi lakini sababu population yao ni kubwa they are regarded as poor than you lakini in reality nyie ndio poorest than them.Zimbabwe ni nchi tajiri kuliko Tanzania, negative media ndio inawaharibia.
Nawe jipachike halafu nusaJamii Forum imegeuka shule ya kukuza vipaji vya upumbavu.
Hivi thread hii ya hayawani huyu anaejitia kidole na kujinusa tunaivumilia kweli?
Kwani nimesemaje?Umasikini sio kukosa pesa. Ila ni kukosa ndoto za kutafuta pesa. Endelea kuomba bila kufanya kazi. Wengine tunasonga mbele
focus-economics.com???? your life is as a joke as this website.NCHI MASKINI ZAIDI DUNIANI. TANZANIA PAHALI PAKE KWA ORODHA, NUMBER 10 MGONGONI!!
KESI YA UGANDA, SIKU YAKE KANDO, TUWAPE EKO NA HESHIMA ZAO NDUGU TOKA TANZANIA
hahaa yaaani mswahili , somalia na mrundi kapu mojaaaa!!!Tanzania na Umasikini ni kama Chanda na Pete hadi wana partneship na nchi zingine LDC
Least Developed Countries Universities Consortium on Climate Change (LUCCC) β Initiated by ICCCAD and MUCCRI
Least Developed Countries Universities Consortium on Climate Change (LUCCC)
Like birds of a feather together forever.hahaa yaaani mswahili , somalia na mrundi kapu mojaaaa!!!
Tutatoka kwenye hiyo orodha muda sio mrefu, tunamalizia mchakato wa kuprint mihela.
Ngoja kwanza, inamaana Zimbabwe haipo kwenye hiyo orodha?
Hata mm nimeshangaa Mkuu! Haiwezekani. Yaani hadi Togo wametupita???Tutatoka kwenye hiyo orodha muda sio mrefu, tunamalizia mchakato wa kuprint mihela.
Ngoja kwanza, inamaana Zimbabwe haipo kwenye hiyo orodha?
Na wasomali na walibya!Hata mm nimeshangaa Mkuu! Haiwezekani. Yaani hadi Togo wametupita???
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] jiongeze mkuu... SYRIA KUNA VITA LKN NI MATAJIRI KUTUZIDI SISI...Oka okay mkuu nimeelewa. Kwa ujinga wangu nilifikiri vita za muda mrefu na dysfunctional governments zina uhusiano na umasikini, ni kupitiwa tu kiongozi,tuendelee kuunga mkono juhudi.
Mleteni Dereva wa Mbunge asaidie uchunguzi,mnamficha wa nini?Haha...Si ajabu tunashuhudia tabia za hovyo na za kimaskini za mfumo mzima wa uongozi katika nchi hizi...imagine mbunge anapigwa risasi 38 mchana kweupe kwenye makazi ya viongozi yenye ulinzi wa 24/7 na hakuna uchunguzi unafanyika...GARBAGE IN GARBAGE OUT!