Agustin kun Aguero
JF-Expert Member
- Mar 22, 2023
- 532
- 641
Mkuu, hili wengi hawalielewi, wanavyoambiwa kutoa ni moyo basi wanafikiri ni kujikamua mpaka ubaki mifupa, hawaelewi msaada unaendana na uwezo pia.Ukweli ni kwamba utoaji unapaswa kutosababisha matatizo yasiyo ya lazima upande unaotoa. Maskini kutoa huku mwenyewe akifa njaa ni kosa.