Nchi ambazo zinahangaika kujenga matundu ya choo hazipaswi kutoa msaada wa fedha kwa nchi matajiri duniani

Ukweli ni kwamba utoaji unapaswa kutosababisha matatizo yasiyo ya lazima upande unaotoa. Maskini kutoa huku mwenyewe akifa njaa ni kosa.
Mkuu, hili wengi hawalielewi, wanavyoambiwa kutoa ni moyo basi wanafikiri ni kujikamua mpaka ubaki mifupa, hawaelewi msaada unaendana na uwezo pia.
 
Wema huzaa wema, natumaini wewe ni mtu mzima kuelewa dhana nzima ya huo msemo.
 
Yani hiki wanachokifanya ni sawa na kuchota maji kisimani na kupeleka baharini
 
 
Kutoa ni moyo, na si utajiri
 
Endeleeni na huyu mama ikifika 2030 watanzania wote tutaongea kirumi wakati huo maza atakuwa na miaka 70 ni bibi
 
Tulitangaziwagwa kuwa nchi hii Ni donor country. Mnalia nini sasa? Ile awamu ilyotangazaga kuwa Tanzania ni tajiri ilikosea?
 
Dollar M1 kwa mtu binafsi ni pesa ndefu ila kwa taifa ni very peanut an, hio pesa huwez jenga hata lami km 1

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Tumekopa mabilioni ya IMF ili kujenga matundu ya vyoo halafu tunajifanya sisi ni wafadhili - donor country? DU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…