Kabla ya uchaguzi, I believe wata-keep low profile coz' wanafahamu there's no way wenye CCM yao wanaweza kuwapitisha wakati sitting president bado ana fursa ya kugombea tena.HAO IKIFIKA 2025 WATAANZA MAKEKE YAO
So, kwenye uchaguzi wa 2025 huenda wakajionesha bado wanamuunga mkono mama ili asiwasahau kwenye ufalme wake!!
Ukishapita uchaguzi sasa, wallah tutapata nao taabu sana hawa jamaa manake wote hao ni wapenda urais...