Nchi hii kuna siku utasikia hawa nao wanataka Urais

Nchi hii kuna siku utasikia hawa nao wanataka Urais

Nchi hii ishakuwa ya mchezo mchezo sana. Yaani kila mtu sasa anaona anaweza kuwa Rais. Pamoja na kuwa Katiba inaruhusu lakini tuwe serious wajameni. Watanzia tusidharaulike sana. Najua UraHIs kwa Watanzia ni kitu chepesi sana. Lakini tusifike huku.

1. Hamis Kigwangalla
2. January Makamba
3. Mwigulu Nchemba
4. Nape Nnauye
5. Ridhiwani Kikwete
The next president hapo NI January Makamba mbona alishahidiwa na JK
 
Mwigulu anaweza ila atatakiwa kudhibitiwa na aina mpya ya katiba, ana hulka kama za Magu, kiasi anaweza kusukuma mambo yakaenda. Wa mwisho ana nafasi Kwa badae na atakuwa inshallah.
 
Nchi hii ishakuwa ya mchezo mchezo sana. Yaani kila mtu sasa anaona anaweza kuwa Rais. Pamoja na kuwa Katiba inaruhusu lakini tuwe serious wajameni. Watanzia tusidharaulike sana. Najua UraHIs kwa Watanzia ni kitu chepesi sana. Lakini tusifike huku.

1. Hamis Kigwangalla
2. January Makamba
3. Mwigulu Nchemba
4. Nape Nnauye
5. Ridhiwani Kikwete
2025 alitakiwa awe Hussein Ally Hassan Mwinyi Sasa baada ya kifo cha hayati ndoto imefifia...mtabaki kuwa Rais Mstaafu wa Zanzibar Tanzania
 
Any one can be a president even a fool ilimradi tu azungukwe na watu wenye akili.
 
The next president hapo NI January Makamba mbona alishahidiwa na JK
Virus ashaingia hana nafasi tena it's over, ni kama ilivokuwa 2005 Kwa zenji waliporwa kiti Cha Uraisi, 2025 inawenyewe walioangusha kinyago Chao wapo wamejaa tele
 
2025 alitakiwa awe Hussein Ally Hassan Mwinyi Sasa baada ya kifo cha hayati ndoto imefifia...mtabaki kuwa Rais Mstaafu wa Zanzibar Tanzania
Huyo ndio Rais wa 2025 imeisha hio, hata aupige mwingi, Walioangusha kinyago wapo na wapo kweli, wampito ni wampito tu, nyakati hizi atapakwa mafuta sana ajiandae kustaafu na mafao yake.
 
January makamba kajionyesha wazi wazi halafu anajihic kuwa anakubalika sana, acha tuone sema tu upinzqni hawana mtu sahihi wa kusimamisha waliopo wamesha chacha hawana mawazo mapya
Si usimame wewe ?! .
Kwanini uwasakizie hao unaoona hawafai. Simama unaefaa
 
Nchi hii ishakuwa ya mchezo mchezo sana. Yaani kila mtu sasa anaona anaweza kuwa Rais. Pamoja na kuwa Katiba inaruhusu lakini tuwe serious wajameni. Watanzia tusidharaulike sana. Najua UraHIs kwa Watanzia ni kitu chepesi sana. Lakini tusifike huku.

1. Hamis Kigwangalla
2. January Makamba
3. Mwigulu Nchemba
4. Nape Nnauye
5. Ridhiwani Kikwete
HAWA NAO TUWASHUGHULIKIE 😅😅
 
Kwa bahati mbaya, tutake ama tusitake, Namba 2 au 3 ndo atapotoka Rais, na huenda na hata PM nae, akatoka hapo hapo.... yaani Rais na PM!
Ee Mwenyezi Mungu tuepushe na balaa hili.
 
Mungu wetu atatenda miujiza kama aliyotenda 07-17/03/2021
 
Yule jamaa mi ambacho namchukia ni kuwapiga chini wenye vyeti fake. Nina jamaa zangu mpaka leo tia maji tia maji. Wakati sisi tunasoma wao walikuwa wanasema haina haja. Wakafanya mipango kwa vyeti wakapata ajira. Kumbe Magufuli alikuwa na taarifa ya makundi ya watu flani wanapata ajira kwa vyeti fake. Akaja wapiga chini...wale jamaa mpaka leo wanamchukia sana...🤣
Tatizo yeye Mwenyewe alikuwa na cheki feki na mwanae lkn akaonea wengine
 
Mahakama ilizuia hizo nyumba kuvunjwa. Labda unaimbie yeye alikuwa zaidi ya mahakama.

Mifuko iliflisika kipindi chake baada ya yeye kuchota pesa hizo bila kufuata utaratibu.

Tumeongeza hisa zetu, lakini hatuna uhakika na hicho kinachosemwa maana hatujaona hiyo mikataba. Isitoshe hata kilichoongezeka ni chini ya matarajio.
Kumbuka kuwa makusanyo ya kodi yaliongezeka sana kuanzia miaka ya mwisho ya JK, hivyo pesa za kununua ndege hazikuwa tatizo kwa JPM.

Alikuwa ni kiongozi mwenye nidhamu kubwa ya kiutendaji, hakupenda mambo ya kifalafala akiwa rais wa nchi.

Sasa hivi maji yana mwezi mmoja hayatoki kama yanavyopaswa lakini jamaa wanaleta bili zao kama kawaida, ujinga kama huo usingeuona enzi za JPM.

Mifuko kufilisika haina maana pesa zimekwenda kununulia ndege, kuna mambo ya ufisadi kwenye mashirika mengi.
 
Hayo mambo ya kubambikiana bill yaliisha lini, tena wakati wa JPM ndio alikuwa hadi anabambikia kodi watu. Yaani kipindi chake hali ndio ilikuwa mbaya zaidi.

Ufisadi ndio ulimaliza mifuko wakati mnasema ufisadi ulikwisha kipindi chake?! Au mnajichanganya?
 
Back
Top Bottom