pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Weka na hizi;Rekodi ilimbeba. Ubabe ni moja ya sifa kubwa iliyombeba. Na alionyesha ubabe na mambo yaliwezekana. Nani alijua kuwa ipo siku;
1. Tanzania itakuwa na ndege tena?
2. Tanzania itakuwa na barabara za juu
3. Tanzania itakuwa ni kimbilio kwa tiba za kibingwa kwa baadhi ya nchi kusini mwa jangwa la sahara?
4. Tanzania itasambaza umeme karibia kila kijiji.
5. Kwamba ingefikia mahali mfanyakazi wa serikali anasema serikalini sio mahali salama pa kufanyia kazi, mahali palipozoeleka kama kijiwe cha kupiga hela za walipa kodi. Japo inarudi tena.
6. Hatukujuwa kama tembo na faru wataongezeka tena. Maana walikuwa wanahesabika na kuelekea kubakiza historia ya uwepo.
7. Kwamba tusingesikia tena mauaji ya albino na vikongwe.
1. Tz ilikuwa na ukatili wa kutisha!
2. Tz kulikuwa na mauaji kadiri anavyoamua!
3. Tz kulikuwa na uporaji na ujambazi tena wa viongozi!
4. Tz demokrasia ilitupwa ktk majalala na 'mtu mmoja' kuamua atakavyo!
Kwendeni na katili wenu!