Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watajua hawajui...Hakuna hata mmoja hapo anakua Rais, sio 2025 sio 2030. Utake usitake tunza hii post.
Nchi hii ishakuwa ya mchezo mchezo sana. Yaani kila mtu sasa anaona anaweza kuwa Rais. Pamoja na kuwa Katiba inaruhusu lakini tuwe serious wajameni. Watanzia tusidharaulike sana. Najua UraHIs kwa Watanzia ni kitu chepesi sana. Lakini tusifike huku.
1. Hamis Kigwangalla
2. January Makamba
3. Mwigulu Nchemba
4. Nape Nnauye
5. Ridhiwani Kikwete
Usitutisheeeee!!!
Kuna shida gani wakiutaka Urais kwani hawana vigezo?
Pole sanaKwa bahati mbaya, tutake ama tusitake, Namba 2 au 3 ndo atapotoka Rais, na huenda na hata PM nae, akatoka hapo hapo.... yaani Rais na PM!
Upinzani wa Kweli utatoka CCM- Mwl NYERERE said.
Waliojenga ndani ya hifadhi ya barabara ndio walivunja sheria. Nidhamu ya kutumia kinachokusanywa vizuri ni sifa waliyokosa marais wengine yeye alikuwa nayo akaweza kufanya makubwa kama kununua rada tuliyopigwa enzi za Hayati Mramba.Ujasiri wa kuvunja sheria huo sio ujasiri bali ni uhalifu.
Pesa za kununulia ndege alipora kwenye mfuko wa korosho, kwenye mifuko ya hifadhi za jamii, leo hii mifuko hiyo tanaambiwa imefilisika. Boss wa Barrick alikuja kweli, kwani kipi kikubwa tumepata kulinganisha na wao? Au tumewanyang'anya migodi?
Mwakaa 2025 twendeni na mama wajameni..HAO IKIFIKA 2025 WATAANZA MAKEKE YAO
Mahakama ilizuia hizo nyumba kuvunjwa. Labda unaimbie yeye alikuwa zaidi ya mahakama.Waliojenga ndani ya hifadhi ya barabara ndio walivunja sheria. Nidhamu ya kutumia kinachokusanywa vizuri ni sifa waliyokosa marais wengine yeye alikuwa nayo akaweza kufanya makubwa kama kununua rada tuliyopigwa enzi za Hayati Mramba.
Mifuko imefilisika kwa sababu ya ufisadi na ukosefu wa uwazi matatizo mawilii ya miaka mingi tuliyonayo kama taifa.
Hatujawanyang'anya migodi tumeongeza hisa zetu katika makampuni yao na hivyo kuongeza gawio la kiserikali. Yote hayo yamefanyika kwa uthubutu wa JPM.
Well saidKuna shida gani wakiwa Marais? Tumejifunza saivi tunawapa Urais watu waliojiandaa kuwa Marais kwa muda mrefu hatutaki kumpa nchi mburundi tena
Bahati nzuri hao wote wana sifa na wanafaa, huwezi kulinganisha na chaka tuliloingizwa kwa lile shetani la ChattleNchi hii ishakuwa ya mchezo mchezo sana. Yaani kila mtu sasa anaona anaweza kuwa Rais. Pamoja na kuwa Katiba inaruhusu lakini tuwe serious wajameni. Watanzia tusidharaulike sana. Najua UraHIs kwa Watanzia ni kitu chepesi sana. Lakini tusifike huku.
1. Hamis Kigwangalla
2. January Makamba
3. Mwigulu Nchemba
4. Nape Nnauye
5. Ridhiwani Kikwete
Yule jamaa mi ambacho namchukia ni kuwapiga chini wenye vyeti fake. Nina jamaa zangu mpaka leo tia maji tia maji. Wakati sisi tunasoma wao walikuwa wanasema haina haja. Wakafanya mipango kwa vyeti wakapata ajira. Kumbe Magufuli alikuwa na taarifa ya makundi ya watu flani wanapata ajira kwa vyeti fake. Akaja wapiga chini...wale jamaa mpaka leo wanamchukia sana...🤣Bahati nzuri hao wote wana sifa na wanafaa, huwezi kulinganisha na chaka tuliloingizwa kwa lile shetani la Chattle
Kwamba nawe haume kwenye hiyo pole, ama?!
Kama nawe ni mmoja wa waamuzi pale CCM, basi sawa!Hakuna hata mmoja hapo anakua Rais, sio 2025 sio 2030. Utake usitake tunza hii post.
Yah... tutake tusitake!!'Tutake tusitake'
Napiga mstari hapo
Ataanza makamba, nape makamu ridhiwan waziri mkuu. Mwigulu asahauNchi hii ishakuwa ya mchezo mchezo sana. Yaani kila mtu sasa anaona anaweza kuwa Rais. Pamoja na kuwa Katiba inaruhusu lakini tuwe serious wajameni. Watanzia tusidharaulike sana. Najua UraHIs kwa Watanzia ni kitu chepesi sana. Lakini tusifike huku.
1. Hamis Kigwangalla
2. January Makamba
3. Mwigulu Nchemba
4. Nape Nnauye
5. Ridhiwani Kikwete
Eti tutake tusitake...ila muwe makini..Watanzania watafikia mahali watachoka hizi arrogance zenu.Kwa bahati mbaya, tutake ama tusitake, Namba 2 au 3 ndo atapotoka Rais, na huenda na hata PM nae, akatoka hapo hapo.... yaani Rais na PM!
Mwangalieni huyu...Rekodi ilimbeba. Ubabe ni moja ya sifa kubwa iliyombeba. Na alionyesha ubabe na mambo yaliwezekana. Nani alijua kuwa ipo siku;
Hizo ndege zinasaidia nini taifa zaidi ya hasara?!1. Tanzania itakuwa na ndege tena?
Hizo unazoita barabara za juu zipo chini ya BRT na muasisi wa BRT sio huyo mungu mtu wako!2. Tanzania itakuwa na barabara za juu
Hujui hata maboresho pale Muhimbili yameanza lini! Hivi ile Taasisi ya Moyo kuitwa Kiwete Cardiac Institute unadhani iliitwa hivyo kwa bahati mbaya?!3. Tanzania itakuwa ni kimbilio kwa tiba za kibingwa kwa baadhi ya nchi kusini mwa jangwa la sahara?
Umeme vijijini upo chini ya Mradi wa Millennium Challenge Corporation, na Magu kaukuta!!4. Tanzania itasambaza umeme karibia kila kijiji.
Yah... kwa ile nidhamu ya woga, sawa!!5. Kwamba ingefikia mahali mfanyakazi wa serikali anasema serikalini sio mahali salama pa kufanyia kazi, mahali palipozoeleka kama kijiwe cha kupiga hela za walipa kodi. Japo inarudi tena.
Maybe lakini ukweli ni kwamba, China kama taifa wanunuaji wakubwa wa pembe za tembo alikuwa "anazomewa" ulimwenguni kote na akawa hana tena namna bali ku-ban biashara hiyo, na hatima demand for ivory imeshuka sana duniani.6. Hatukujuwa kama tembo na faru wataongezeka tena. Maana walikuwa wanahesabika na kuelekea kubakiza historia ya uwepo.
Kwani huko huko kwao si ndo wauaji wakubwa wa albino?!7. Kwamba tusingesikia tena mauaji ya albino na vikongwe.
Kwa miaka 6 ambayo alikaa madarakani alianzisha vyanzo vipi vya umeme ambavyo tayarii vinazalisha umeme!8. Mgao wa maji na umeme ulifikia kusahaulika na kuonekana kumbe si kitu cha kawaida.