Nchi hii kuna siku utasikia hawa nao wanataka Urais


Kweli a big joke.

Waache upuuzi.
 
Waliojenga ndani ya hifadhi ya barabara ndio walivunja sheria. Nidhamu ya kutumia kinachokusanywa vizuri ni sifa waliyokosa marais wengine yeye alikuwa nayo akaweza kufanya makubwa kama kununua rada tuliyopigwa enzi za Hayati Mramba.

Mifuko imefilisika kwa sababu ya ufisadi na ukosefu wa uwazi matatizo mawilii ya miaka mingi tuliyonayo kama taifa.

Hatujawanyang'anya migodi tumeongeza hisa zetu katika makampuni yao na hivyo kuongeza gawio la kiserikali. Yote hayo yamefanyika kwa uthubutu wa JPM.
 
Mahakama ilizuia hizo nyumba kuvunjwa. Labda unaimbie yeye alikuwa zaidi ya mahakama.

Mifuko iliflisika kipindi chake baada ya yeye kuchota pesa hizo bila kufuata utaratibu.

Tumeongeza hisa zetu, lakini hatuna uhakika na hicho kinachosemwa maana hatujaona hiyo mikataba. Isitoshe hata kilichoongezeka ni chini ya matarajio.
 
Bahati nzuri hao wote wana sifa na wanafaa, huwezi kulinganisha na chaka tuliloingizwa kwa lile shetani la Chattle
 
Bahati nzuri hao wote wana sifa na wanafaa, huwezi kulinganisha na chaka tuliloingizwa kwa lile shetani la Chattle
Yule jamaa mi ambacho namchukia ni kuwapiga chini wenye vyeti fake. Nina jamaa zangu mpaka leo tia maji tia maji. Wakati sisi tunasoma wao walikuwa wanasema haina haja. Wakafanya mipango kwa vyeti wakapata ajira. Kumbe Magufuli alikuwa na taarifa ya makundi ya watu flani wanapata ajira kwa vyeti fake. Akaja wapiga chini...wale jamaa mpaka leo wanamchukia sana...🤣
 
Ataanza makamba, nape makamu ridhiwan waziri mkuu. Mwigulu asahau
 
Kwa bahati mbaya, tutake ama tusitake, Namba 2 au 3 ndo atapotoka Rais, na huenda na hata PM nae, akatoka hapo hapo.... yaani Rais na PM!
Eti tutake tusitake...ila muwe makini..Watanzania watafikia mahali watachoka hizi arrogance zenu.
 
Rekodi ilimbeba. Ubabe ni moja ya sifa kubwa iliyombeba. Na alionyesha ubabe na mambo yaliwezekana. Nani alijua kuwa ipo siku;
Mwangalieni huyu...
1. Tanzania itakuwa na ndege tena?
Hizo ndege zinasaidia nini taifa zaidi ya hasara?!
2. Tanzania itakuwa na barabara za juu
Hizo unazoita barabara za juu zipo chini ya BRT na muasisi wa BRT sio huyo mungu mtu wako!
3. Tanzania itakuwa ni kimbilio kwa tiba za kibingwa kwa baadhi ya nchi kusini mwa jangwa la sahara?
Hujui hata maboresho pale Muhimbili yameanza lini! Hivi ile Taasisi ya Moyo kuitwa Kiwete Cardiac Institute unadhani iliitwa hivyo kwa bahati mbaya?!
4. Tanzania itasambaza umeme karibia kila kijiji.
Umeme vijijini upo chini ya Mradi wa Millennium Challenge Corporation, na Magu kaukuta!!
5. Kwamba ingefikia mahali mfanyakazi wa serikali anasema serikalini sio mahali salama pa kufanyia kazi, mahali palipozoeleka kama kijiwe cha kupiga hela za walipa kodi. Japo inarudi tena.
Yah... kwa ile nidhamu ya woga, sawa!!
6. Hatukujuwa kama tembo na faru wataongezeka tena. Maana walikuwa wanahesabika na kuelekea kubakiza historia ya uwepo.
Maybe lakini ukweli ni kwamba, China kama taifa wanunuaji wakubwa wa pembe za tembo alikuwa "anazomewa" ulimwenguni kote na akawa hana tena namna bali ku-ban biashara hiyo, na hatima demand for ivory imeshuka sana duniani.


Penye pesa, hustlers wataingia kwa vyovyote vile! China n Iran ukikamatwa na drugs kitanzi ni chako lakini hilo haliwazuii watu kupeleka mihadarati kwenye mataifa hayo!
7. Kwamba tusingesikia tena mauaji ya albino na vikongwe.
Kwani huko huko kwao si ndo wauaji wakubwa wa albino?!
8. Mgao wa maji na umeme ulifikia kusahaulika na kuonekana kumbe si kitu cha kawaida.
Kwa miaka 6 ambayo alikaa madarakani alianzisha vyanzo vipi vya umeme ambavyo tayarii vinazalisha umeme!

Flyovers zipo chini ya mradi wa BRT na huyo Mungu mtu wako sio muasisi wa BRT...

Watu kutoka nchi jirani walianza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…