Nchi hii kuna siku utasikia hawa nao wanataka Urais

Weka na hizi;
1. Tz ilikuwa na ukatili wa kutisha!
2. Tz kulikuwa na mauaji kadiri anavyoamua!
3. Tz kulikuwa na uporaji na ujambazi tena wa viongozi!
4. Tz demokrasia ilitupwa ktk majalala na 'mtu mmoja' kuamua atakavyo!
Kwendeni na katili wenu!
 
Unashangaa hao unaweza Kuta hata mwijaku na baba levo bila kumsahau la Saba msukuma wana uwaza uraisi 🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶
 
Huyo number moja ndio hafai,hao Wengine wote wanafaa,

Nchi hii mtu ambae hakufaa kuwa Rais magufuli
 
Kuna shida gani wakiwa Marais? Tumejifunza saivi tunawapa Urais watu waliojiandaa kuwa Marais kwa muda mrefu hatutaki kumpa nchi mburundi tena
Exactly, Bora kuwapa urais watu Kama hao ambao tunawajua vizuri, kuliko kumpa jitu lina asili ya unyarwanda linakuja kuua watoto zetu
 
na zile fedha za rambirambi za watu kagera ambazo alikwapua? Nao walivunja sheria? Dhuluma imemmaliza mungu wenu
 
na zile fedha za rambirambi za watu kagera ambazo alikwapua? Nao walivunja sheria? Dhuluma imemmaliza mungu wenu
Usiamini sana hizi habari za kimbea za instagram na humu JF, nenda katazame sekondari ya Ihungo iliyokarabatiwa utajua kila senti imetumika vipi.
 
Wote wanafaa. Yeyote anae ukwaa uraisi wa Tanzania hapo hapo hugeuka kuwa mtaalamu wa kila kitu. Uchumi, afya, elimu, kilimo n.k.
Na kwa mujibu wa busara ya baba wa taifa raisi si mtu wa kuondoshwa kirahisi. Rejea kadhia ya G55, Rais Ali Mwinyi na PM Malecela
 
6ft underground
 
Namba 11 nadhani mimi pia nilistahili kuwepo, hunijui?
 
🤣🤣🤣🤣nimecheka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…