Uchaguzi 2020 Nchi imeamka ikiwa na huzuni kubwa sana, Kwamba wabunge wote Bara 100% wameshinda wa CCM

Mwanzo umeanza vizuuuri ila mwisho umeharibu kudai eti nyerere alituachia demokrasia ipi?? Yaani huu ujinga
 
😁😂😂😂😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😂😂😂😂😂 chademaaaaaaa daah mkomeee
 
Ila wapinzani nao wametia dosari sana hasa kile kipindi wanatoka bungeni na kususia vikao wananchi nasi tunachoka na njia hii ya kususia, tunawachagua wa kututete bungeni wao wanatoka bungeni
Wapinzani Kuna sehemu huwa wanakosea,huwa wanafeli kimbinu Kuna wakati huwa inabidi wabaki ndani.Lakini kitendo Cha Bunge kuwa la Chama kimoja tu,matokeo yake tutayaona Wala sio mbali kesho tu,tutaona Radha ya Bunge la Chama kimoja.Kuna members humu wapo CCM lakini baada ya muda IDs zao zitapotea.Namkumbuka Kimambi na Chahali 2015
 
Huu uchaguzi si wa kusifiwa hata kidogo,ulijaa vitimbi na visa vingi kuhakikisha chama tawala kinaendelea kubaki madarakani bila kupendwa na wanachi walio wengi,uchaguzi ulitawaliwa na mbinu mikakati tata kuhakikisha upinzani mkali unakufa kihalali kwenye sanduku la kura, hilo bunge lijalo litakuwa pole sana maana wengi watakuwa wa chama kimoja
 
Huyo Ni kiazi tu anajua siasa za marekani za nchi yake anajitia upofu
 
Wapinzani ni mwanakulitafuta mwanakulipata
nasikia wafu walipiga sana kura
 
Waliçhofanya CCM ni kuboresha walichofanya mwaka 2019 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…