Kampuni 175 na Uchumi uko juuUingereza ina kampuni ngapi za kubet?..unataka mabadiliko gani?
Betting is better than EducationNchi yeyote ukipumbaza vijana basi utashinda na ndo ccm ilipofanikiwa.
sasa hivi vijana hawa uwezo wa kushinikiza wapate ajira wao wanakomaa na kamari .
psychologically kamari hua inatengeneza matumaini hewa kwamba ipo siku utawin mwisho wa siku unageuziwa kibao
Acha watu wajitafutie hela ,kuna viwanda vya pombe ,sigara etc na pia siyo lazima ucheze kamari au unywe pombe au kuvuta sigara...hawalazimishi....Mbona kuna makasino yapo tangu enzi za nyerere? Au kwakuwa kamari imekuwa advanced kuwa online? Kwahiyo Gaming Board unaona hawana akili kuruhusu?Nchi yeyote ukipumbaza vijana basi utashinda na ndo ccm ilipofanikiwa.
sasa hivi vijana hawa uwezo wa kushinikiza wapate ajira wao wanakomaa na kamari .
psychologically kamari hua inatengeneza matumaini hewa kwamba ipo siku utawin mwisho wa siku unageuziwa kibao
sheria za betting uk ni ngumu sana hata washiriki ni wachacheUingereza ina kampuni ngapi za kubet?..unataka mabadiliko gani?
Uingereza ina kampuni ngapi za kubet?..unataka mabadiliko gani?
Mbona chache sana? Vipi wewe unacheza kamari au huchezi kama huchezi umeleta mabadiriko gani mpaka Sasa?Nchi yeyote ukipumbaza vijana basi utashinda na ndo ccm ilipofanikiwa.
sasa hivi vijana hawa uwezo wa kushinikiza wapate ajira wao wanakomaa na kamari .
psychologically kamari hua inatengeneza matumaini hewa kwamba ipo siku utawin mwisho wa siku unageuziwa kibao
aise1. Tatu Mzuka
2. SportPesa
3. Biko
4. M-Bet
5. Gwalabet
6. Wasafi Bet
7. Meridianbet
8. Betway
9. Pigabet
10. Bookbet
11. Betika
12. Mojabet
13. Mchongopesa
14. Dilipesa
15. Kingbet
17. Betpawa
18. 888bet
19. Mkwanjabeta
20. Butua
21. Bongo Milionea
22. Mzuka Casino
23. 10bet
24. Gama gaming
25. Sokabet
26. Gal sport betting
27. Playmasterbet
28. BetX
29. Throne Bet
30. Win princess
31. Parimatch
32. Bonusbet
33. Sportybet
34. Livepesa
35. Mchezo Supa
36. AfyaBet
37. Jackpot City
38. SlotPesa
Hivyo ni baadhi TU ya viwanda vinavyotesa kwa sasa hapa nchini. Vijana hatuendi kwenye vikao vya mitaa, Wala hatuna muda wa kufuatilia mambo yanayoendelea hapa nchini. Anatokea kiongozi mkubwa anasema eti vijana wamepotoka na sasa hakuna maadili kabisa huku anasahau yeye ndiye mtunga sera na mratibu wa yanayoendelea?
Mtaji wa watawala ni ujinga na haya makampuni yanafurika hapa kwetu kwa sababu ya ujinga wetu.
statistics zangu zilikua za 2023 manake ndani ya mwaka pameongezeka kampuni 20 kuna hizi umesahau mkeka bet,primeabet ,leon bet, parmatch ,bangbet hii ni dhoruba1. Tatu Mzuka
2. SportPesa
3. Biko
4. M-Bet
5. Gwalabet
6. Wasafi Bet
7. Meridianbet
8. Betway
9. Pigabet
10. Bookbet
11. Betika
12. Mojabet
13. Mchongopesa
14. Dilipesa
15. Kingbet
17. Betpawa
18. 888bet
19. Mkwanjabeta
20. Butua
21. Bongo Milionea
22. Mzuka Casino
23. 10bet
24. Gama gaming
25. Sokabet
26. Gal sport betting
27. Playmasterbet
28. BetX
29. Throne Bet
30. Win princess
31. Parimatch
32. Bonusbet
33. Sportybet
34. Livepesa
35. Mchezo Supa
36. AfyaBet
37. Jackpot City
38. SlotPesa
Hivyo ni baadhi TU ya viwanda vinavyotesa kwa sasa hapa nchini. Vijana hatuendi kwenye vikao vya mitaa, Wala hatuna muda wa kufuatilia mambo yanayoendelea hapa nchini. Anatokea kiongozi mkubwa anasema eti vijana wamepotoka na sasa hakuna maadili kabisa huku anasahau yeye ndiye mtunga sera na mratibu wa yanayoendelea?
Mtaji wa watawala ni ujinga na haya makampuni yanafurika hapa kwetu kwa sababu ya ujinga wetu.
Hii inadumaza kufikiri ya vijana kwa kuwaza kupata mali bila jasho.Nchi yeyote ukipumbaza vijana basi utashinda na ndo ccm ilipofanikiwa.
sasa hivi vijana hawa uwezo wa kushinikiza wapate ajira wao wanakomaa na kamari .
psychologically kamari hua inatengeneza matumaini hewa kwamba ipo siku utawin mwisho wa siku unageuziwa kibao
kuna mdau kaweka list hapo zipo kampun 38 na kuna zingine kama 5 amesahaunkuorodheshaMbona chache sana? Vipi wewe unacheza kamari au huchezi kama huchezi umeleta mabadiriko gani mpaka Sasa?
Mkuu kuna hii kampuni ya betting ambayo alianzisha msichana Denis Coates baada ya kuwa mkurugenzi kwenye kampuni ya baba yake ya betting huku UKAcha watu wajitafutie hela ,kuna viwanda vya pombe ,sigara etc na pia siyo lazima ucheze kamari au unywe pombe au kuvuta sigara...hawalazimishi....Mbona kuna makasino yapo tangu enzi za nyerere? Au kwakuwa kamari imekuwa advanced kuwa online? Kwahiyo Gaming Board unaona hawana akili kuruhusu?
sio bila jasho betting inapunguza uwezo wa kufikiri hasa maeneo yanayohitaji kua serious. ,kama. future,uchumi n.kHii inadumaza kufikiri ya vijana kwa kuwaza kupata mali bila jasho.
Washiriki ni wengi mpaka imekua tatizo, hakuna sheria yoyote zaidi ya kuwa na miaka 18sheria za betting uk ni ngumu sana hata washiriki ni wachache
Ila akili za watanzania hapana aiseeUingereza ina kampuni ngapi za kubet?..unataka mabadiliko gani?
Betting inatengeneza kuzazi cha wapenda shortcutsio bila jasho betting inapunguza uwezo wa kufikiri hasa maeneo yanayohitaji kua serious. ,kama. future,uchumi n.k
Kumbe kampuni za kamari siyo shidaKampuni 175 na Uchumi uko juu
Vijana wa huko wanaendekeza ngono, na yanga
Usifananishe kwa nini kwa muktadha wa mada!?..una akili ya kutafakari mambo!?Ila akili za watanzania hapana aisee
Yaani unapata nguvu za kuifananisha Tanzania na uingereza