Ungekuwa na akili ungeelewa. Lakini kwa vile huna, endelea kuwa mbishi.Wewe usiyebet onyesha utajiri wako wa mabilioni Ili tuamini kama betting ni mbaya ukionyesha mabilioni Yako Mimi naacha betting Leo Leo ila kama huna hayo mabilioni fata maisha Yako hujaja na mtu duniani hapa