Nchi ina kampuni 21 za kucheza kamari halafu uniambie tutakuwa na vijana jasiri na wapenda mabadiliko

Nchi ina kampuni 21 za kucheza kamari halafu uniambie tutakuwa na vijana jasiri na wapenda mabadiliko

Kampuni 175 na Uchumi uko juu
Vijana wa huko wanaendekeza ngono, na yanga
Hapana bwana,

UK imeanza kuwa kubwa zamani sana kwahiyo hizi kamari mtandao zimeikuta nchi tayari ni nzuri.

Kwa Tanzania unaweza sema hivyo?

Unasema ni biashara nzuri, lakini huoni inapoteza vijana? Husikii wanajiua?

Tayari tuna vices za kutosha(pombe, sigara, bangi, malaya) wakiongeza na hii wanatumaliza.
 
Mkuu gambling haifai ni uraibu mbaya sana. Kuna wakati kipindi cha nyuma nilipoteza hela nyingi sana. Siitaki kuisikia kabisa.

Yani kamari na ndoa
 
Acha watu wajitafutie hela ,kuna viwanda vya pombe ,sigara etc na pia siyo lazima ucheze kamari au unywe pombe au kuvuta sigara...hawalazimishi....Mbona kuna makasino yapo tangu enzi za nyerere? Au kwakuwa kamari imekuwa advanced kuwa online? Kwahiyo Gaming Board unaona hawana akili kuruhusu?
Kwenye casino unaweza lamba 1M kwa shing' mia tano?

Hiyo 'sio lazima' ni maneno tu lakini hizi bidhaa zinatengenezwa kwa namna inayoleta uraibu
 
Watu wa dizaini yako ni wale waliochapika na maisha Aya tuambie wewe haubeti umefanya nini kwenye Ili taifa au ni bilionea namba ngapi
 
Back
Top Bottom