Nchi ina kampuni 21 za kucheza kamari halafu uniambie tutakuwa na vijana jasiri na wapenda mabadiliko

Nchi ina kampuni 21 za kucheza kamari halafu uniambie tutakuwa na vijana jasiri na wapenda mabadiliko

Wewe usiyebet onyesha utajiri wako wa mabilioni Ili tuamini kama betting ni mbaya ukionyesha mabilioni Yako Mimi naacha betting Leo Leo ila kama huna hayo mabilioni fata maisha Yako hujaja na mtu duniani hapa
Ungekuwa na akili ungeelewa. Lakini kwa vile huna, endelea kuwa mbishi.
 
H
aise

statistics zangu zilikua za 2023 manake ndani ya mwaka pameongezeka kampuni 20 kuna hizi umesahau mkeka bet,primeabet ,leon bet, parmatch ,bangbet hii ni dhoruba
Hiyo namba 33 ni yangu huwa nawabutua...laki mbili
 
Back
Top Bottom