Nchi inaelekea kuwa ngumu sana kwa Rais Samia kuanzia sasa na baada ya 2025

CCM wameziba masikio naanza kuelewa kwamba ukolini mambo leo unasababishwa na sisi wenyewe kwakuto kombolewa kifikra zetu
 
Kwenye issue ya mahindi mimi nimeweka msimamo wangu. Nitalima mahindi eneo dogo ambalo ni manageable kutosheleza mahitaji ya familia yangu ambalo nina uhakika wa kuvuna gunia 10 kwa eneo dogo. Nikitenga gunia 4 kwa mahitaji ya chakula. yanayobaki yatasolve mambo madogo madogo (mfano kuna ndugu au mtu mwenye uhitaji naweza tuma hata debe 2 U 3). Sina mpango wa kulima mahindi kwa ajili ya biashara.
 
Serikali imewakatisha tamaa wakulima.
 
Mpuuzi sio Bashe Bali mbunge wako maana Jana Spika kaliweka wazi kawaambia wabunge waende huko majimboni mwao wafuatilie kama serikali inanunua mahindi chini ya elfu 80 warudi watoe taarifa bunge lijadili kama dharura kwa Kukaa kwao kimya Ina maana bei ndio hiyo hiyo serikali.
 
Hakuna wabunge pale kuna wahuni wa mwendazake
 
kauli aliyoitoa chalamila, kuwa tuwe makini na hawa makamu wa rais, ni ya kweli. pia, kwangu bado nina imani ndogo sana kama mwanamke anaweza kuwa rais wa kutuvusha, Mungu hajawaumba hivyo, atatokea tu mwanaume atakayemwelekeza kuelekea kokote.
Acha imani potofu kuhusu wanawake.

Samia amemzidi mbali sana Magufuli
 
Wewe labda Tanzania umehamia jana, hizo kelele za watanzania mitandaoni isikupe pressure ni nguvu za soda tu..........hata kabla ya December tutakua tunedandia tukio jingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…