Nchi inaelekea kuwa ngumu sana kwa Rais Samia kuanzia sasa na baada ya 2025

Hakuna kazi isiyo na changamoto, Tunapishana uelewa wa mambo tu, kuhusu upigaji ni hulka ya watu na hili lipo katika zama zote, sio makanisani wala misikitini wapigaji wapo

Tuzidi kuwaombea viongozi wetu ili watuvushe salama
 
Sasa ninakaribia miaka 65 je nikifikisha 75 mwaka 2030 si nitauza jiji la Dar!!!

Muda huo akili itakuwa imechoka hata kusoma mikataba nitashindwa nitakuwa sioni.

Ninaomba 2025 sitagombea tena.
 
Hakuna kazi isiyo na changamoto, Tunapishana uelewa wa mambo tu, kuhusu upigaji ni hulka ya watu na hili lipo katika zama zote, sio makanisani wala misikitini wapigaji wapo

Tuzidi kuwaombea viongozi wetu ili watuvushe salama
Akuvushe uende wapi?
Labda kwao
 
Heheehe

Ova
 
Mshaambiwa bandari watu wanataka efficiency ya kazi

Ova
 
Udini ni kauli mbiu ya wagalatia hasa Rais wa nchi anapokuwa muislam,

Haitusumbui
 
Mama anaijua Siasa.
Alipoona kuna dalili za kushinikizwa katiba mpya kabla ya 2025, kawaletea shipa la bandari mhangaike nalo.
Sasa hv hutosikia tena kelele za katiba. Yaani ht kwenye bajeti hii hakuna fungu la mchakato wa katiba and no one to complain. Peoples are busy for bandari tu kutahamaki 2025 hii hapa na likatiba hili ambalo Mama atajitangazia tu ushindi
 
Kama haya ni maoni basi sawa...ila kama huu ni ushauri kwa samia basi nakushauri usipoteze muda wako kushauri wapumbavu
 
Rais anayejificha wakati wa changamoto hatufai, hawezi kuwa Amiri Jeshi mkuu huyo.
Akufae asikufae huna cha kumfanya...
Na sasa ndo keshawapoteza, hakuna tena kelele za katiba.
Akiona moto wa bandari umepoa ataleta la kuuza Kilimanjaro.
Mpk 2025 tunaingia kwenye uchaguzi kwa katiba hii hii
 
Wewe labda Tanzania umehamia jana, hizo kelele za watanzania mitandaoni isikupe pressure ni nguvu za soda tu..........hata kabla ya December tutakua tunedandia tukio jingine.
December mbali sana.
Hapo serikali inawaandalia tukio mwezi ujao na wote watahamia huko
 
Masikini mnapojifariji
 
Mwisho wenu nyie ni hapa kwenye keyboard tu.
Hayo makelele yenu hayamzuii kuendelea till 2030
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…