Soma kwa kuelewa ukiwa umetuliza makalio, otherwise unanipotezea mudaWewe jamaa mala useme dola feki, mara useme chuki kwa matajiri, mbona kama unajipinga mwenyewe? Nakupa tu msaada wa bure ili usijipinge mwenyewe tena maana inaonekana hueleweki hata unachosimamia. Kapuku ndio anabeba dola feki, tajiri anabeba dola halali. Sasa rudia upya ulichokiandika na utuambie unasimamia wapi.
Aaaah bas sawaa.Mbez Beach B
Karibu Sekondari ya Daniel Chongolo
Oooh bas sawaa.Mtaa wa Dolphin
Mbezi Beach kwa Zena
Nyuma ya Mbezi Beach Plaza
Yule alikuwa Sadist, sasa kama alinunua Ist kama zawadi na ile 1.5 tr alipeleka wapi? Unajua hiyo ilipelekea mpaka Assad akafukuzwa kazi baada ya kuliweka wazi hili swalamimi ninachujua, jiwe ndiye alifaa kuongoza nchi ya kipuuzi kama hii na wala hakuwa anakula na mtu kwa sababu ameondoka unaona familia yake hawatesi mtandaon! Kumbuka aliwahi kununua ist kama zawadi kwa mtoto wake! Jamaa alikuwa bahili ile hatari!.
Mimi siwafahamu, ndo nimewaona kwenye hii video, inaweza kuwa uongo.je huyo Binti ni mtoto wa Boss kweli ?, maana mimi siwafahamu watoto wate wa Boss
Unafikiri Kile kipande cha SGR phase (l) na pesa ya bwawa ilitoka wapi? Maana hatukukopa nje.Yule alikuwa Sadist, sasa kama alinunua Ist kama zawadi na ile 1.5 tr alipeleka wapi?
Huyu Assad kama kweli alikuwa mtetezi wa pesa za watanzania mbona sasa hivi yuko kimya sana?Unajua hiyo ilipelekea mpaka Assad akafukuzwa kazi baada ya kuliweka wazi hili swala
bora hata umemjibu! Yaani nimeona hamna haja ya kumjibu kwani unaweza kuta yeye ni mmoja wa wale waliotimuliwa kisa vyeti feki asa unategemea atamsifia?Unafikiri Kile kipande cha SGR phase (l) na pesa ya bwawa ilitoka wapi? Maana hatukukopa nje.
Huyu Assad kama kweli alikuwa mtetezi wa pesa za watanzania mbona sasa hivi yuko kimya sana?
Mtu mkweli hua habadiliki, angehoji kuhusu mgodi wa makaa ya mawe, tozo zisizo na maana uwanja wa ndege, gharama za bando, umeme, n.k. Vipi kuhusu ahadi ya kuunganisha umeme wa REA Kwa Tsh 27,000 vijijini, imeenda wapi?
Ile ya dole la kati ipo wapi?
Sasa Assad kwa sasa siyo CAG, unataka ahoji kuhusu hayo kama nani? Hata kipindi cha Jiwe hakuwahi kuhoji chochote zaidi ya kutoa taarifa ama report kama CAG. So hicho kipande cha SGR kilijengwa vip kwa pesa ambayo ukaguzi wa CAG haukupata hiyo taarifa?Unafikiri Kile kipande cha SGR phase (l) na pesa ya bwawa ilitoka wapi? Maana hatukukopa nje.
Huyu Assad kama kweli alikuwa mtetezi wa pesa za watanzania mbona sasa hivi yuko kimya sana?
Mtu mkweli hua habadiliki, angehoji kuhusu mgodi wa makaa ya mawe, tozo zisizo na maana uwanja wa ndege, gharama za bando, umeme, n.k. Vipi kuhusu ahadi ya kuunganisha umeme wa REA Kwa Tsh 27,000 vijijini, imeenda wapi?
Kingine unajua kuwa watu walitaka kujua manunuzi ya ndege na bei zake jamaa akalihamishia shirika chini ya Ikulu ambapo hakuna ukaguzi,je walijua hili au hulijui?Unafikiri Kile kipande cha SGR phase (l) na pesa ya bwawa ilitoka wapi? Maana hatukukopa nje.
Huyu Assad kama kweli alikuwa mtetezi wa pesa za watanzania mbona sasa hivi yuko kimya sana?
Mtu mkweli hua habadiliki, angehoji kuhusu mgodi wa makaa ya mawe, tozo zisizo na maana uwanja wa ndege, gharama za bando, umeme, n.k. Vipi kuhusu ahadi ya kuunganisha umeme wa REA Kwa Tsh 27,000 vijijini, imeenda wapi?
Acha porojo. Kwa hiyo matajiri wanabeba dola fake?Soma kwa kuelewa ukiwa umetuliza makalio, otherwise unanipotezea muda
Ndege tumeziona, tunajua bei zake, unaweza kupata hata tax records kutoka IRS, wewe tuambie hela za tozo alinzo anzisha Samia, zinaenda wapi, magari ya Mombo ya kifahari yametoka wapi?Kingine unajua kuwa watu walitaka kujua manunuzi ya ndege na bei zake jamaa akalihamishia shirika chini ya Ikulu ambapo hakuna ukaguzi,je walijua hili au hulijui?
Kama mtu mwenye uchungu na nchi yake, vile alivyojionesha akiwa CAG.Sasa Assad kwa sasa siyo CAG, unataka ahoji kuhusu hayo kama nani?
Wote tunajuwa Magu alikuwa akihujumiwa sana, kuna maamuzi aliyafanya kibabe ili aweza kuwafanyia watanzania kile alichoamini ni haki yao.Hata kipindi cha Jiwe hakuwahi kuhoji chochote zaidi ya kutoa taarifa ama report kama CAG. So hicho kipande cha SGR kilijengwa vip kwa pesa ambayo ukaguzi wa CAG haukupata hiyo taarifa?
Una ushahidi gani kuwa zilienda kujenga hilo bwawa? Kama zilienda kufanya jambo maana kwa manufaa ya Taifa kwanini iwe siri. Magu alikuwa anakopa pesa sana huku akisema kuwa yeye hakopi. Ukiacha hilo hata ndege hakuna anayejua alinunua shiling ngapi, na ili kukwepa ukaguzi akaliamishia shirika chini ya Ikulu.Kama mtu mwenye uchungu na nchi yake, vile alivyojionesha akiwa CAG.
Wote tunajuwa Magu alikuwa akihujumiwa sana, kuna maamuzi aliyafanya kibabe ili aweza kuwafanyia watanzania kile alichoamini ni haki yao.
Katika hizo trilioni 1.5 ambazo Assad alisema zimepotea, tulijenga bwawa la Nyerere na SGR kipande cha kwanza, (kwa fesha za ndani). Vyote hivi vipo vinafanya kazi.
Kama unadhani 1.5T iliibiwa, tuambie bwawa letu na SGR (Dar-Moro) pesa zilitoka wapi?
cc REAL Comrade Kipepe
Kwa kutumia logic hiyo hiyo naweza kukuuliza, unaushahidi gani ziliibiwa?Una ushahidi gani kuwa zilienda kujenga hilo bwawa? Kama zilienda kufanya jambo maana kwa manufaa ya Taifa kwanini iwe siri.
Magu alikataliwa kujenga SGR mpya kwasababu wakubwa hawakuona faida yoyote.Magu alikuwa anakopa pesa sana huku akisema kuwa yeye hakopi. Ukiacha hilo hata ndege hakuna anayejua alinunua shiling ngapi, na ili kukwepa ukaguzi akaliamishia shirika chini ya Ikulu.
Mkuu hujajibu swali,kama hiyo 1.5 tr ilienda kufanya jambo la maana kwa Taifa kwanini iwe siri mpaka CAG hana taarifa? Nikupe mfano mwingine, unakumbuka Jiwe aliponunua kivuko feki na kukigawa jeshini lengo lilikuwa nini?Kwa kutumia logic hiyo hiyo naweza kukuuliza, unaushahidi gani ziliibiwa?
Magu alikataliwa kujenga SGR mpya kwasababu wakubwa hawakuona faida yoyote.
EU, hasa Ujerumani walitaka kutoa mkopo kuiboresha reli waliyoijenga wao (MGR). Hakuna aliyetaka kutoa pesa kujenga reli mpya, ilibidi Magu atumie pesa za ndani. Awamu ya pili, ndipo benk ya Africa ikatoa mkopo kiasi na nyingine serikali ikatoa.
Bwawa la Nyerere ni hivyo hivyo, siyo tuu walikataa bali walifanya kampeni ya kulipinga Kwa kisingizio cha mazingira. Vyombo vingi vya habari vya magharibi na Kenya viliandika makala nyingi kupinga. Ilibidi Magu atumie pesa za ndani ili kukamilisha azma hiyo.
Sasa kama hizo 1.5T zililiwa kifusadi, ujenzi wa SGR ya Dar-Moro na bwawa la Nyerere, pesa zake zilitoka wapi?
Imefanyika vipi kwa hapa bongo?Kumbe inside trade kwenye stock exchange hata bongo ipo😲😲
Kwamba jiwe alikuwa sadist ndio maana akapurua akaunti za majizi sio?Yule alikuwa Sadist, sasa kama alinunua Ist kama zawadi na ile 1.5 tr alipeleka wapi? Unajua hiyo ilipelekea mpaka Assad akafukuzwa kazi baada ya kuliweka wazi hili swala