miana amor
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 966
- 1,495
Babu kwan Dubai na UAE ni nchi mbili tofaut😁Nani aliyewaambia Viongozi wa Nchi hii wapo kwaajili ya maslahi na ustawi wa Wananchi?
Mambo ya kuifia Nchi alikuwa nayo Nyerere pekee, ambaye hadi anakufa ameambulia kujengewa nyumba na Serikali ili kuogopa aibu wakati wa mazishi yake
Viongozi wa sasa wanashindana kununua majumba Dubai na UAE tu 🙌
Wanalambishwa posho za buku kumi kumi hawawezi hata kulipia kumuona daktari hospitali wakati wenzao wanakwapua mabilioni ya kodi za wananchi.Hapa nadhan ni akina... choicevariable, tiatiaah, chiembe johnthebaptist na genge lao!!!!
Mburukenge kbs!!Wanalambishwa posho za buku kumi kumi hawawezi hata kulipia kumuona daktari hospitali wakati wenzao wanakwapua mabilioni ya kodi za wananchi.
Nimeona ile Kideo roho imeniuma sana.Watoto wa Mkuu wa Usalama wa Taifa wakiwa wana enjoy matunda ya watanzania wasio na uchumi sahihi,
Wanaonesha madolali na kutambia watanzania Wengine
Nimekumbuka ilikuwa asubuhi tarehe 17/02/2025 nikakutana na mtoto wa mstaafu fulan ambaye aliwahi zushiwa kuwekwa kuzuizini
Aliniambia hivi “Magufuli alikuwa dikteta na mwenye hulka ya ujuaji bila kusikiliza Wengine ila hakuwa na Ujinga na Ubadhilifu Kama tunaopitia” akaendelea kwamba Naona wapuuzi na wajinga wajinga wame rudi kwa kasi sana mitandaoni wanashabikia wasiyoyajua” mpaka tunaongea kuna Pesa ya mkurugenzi wa Kitengo fulan ***** iko Seychelles na Maldavies, nikashangaa, akaongeza kwamba amenunua hisa kwa majina ya watu kadhaa kwenye DSE na BONds, Majina aliyataja nikaona kuna ukweli, anaendelea kueleza kwamba pamoja ni Hiyo si yeye tu alipewa 6B alafu Mwingine Mkuu wale Mbwa wakakamavu amepewa 1B ( wale wa tumelikamata lijambazi)
Hela hii ni kwa ajili ya kuhakikisha hakuna maguu ya mtu yeyote kukanyaga barabarani kudai haki lazima wasilibwe!
Mpaka sasa tunaongea wakuu wa idara kadha wa kadha hawafanyi kazi kwa ufanisi walk bali wa maelekezo ya boss wao
Britanicca
Kulia hakuwezi saidia lolote, tafuta palipo na udhaifu na wewe ujipigie pande lako. Think like a manAcha tu leo nimelia sana nikiangalia jinsi hela mtaani hakuna watu tunagombea mia mbili afu dogo tu hata haja balehe anatuonyeshea dole la kati.
Aloo iko wapi hiyoNimeona ile Kideo roho imeniuma sana.
mengi yanatokea nchi hii. Najitahidi nisikose bandoDogo vuzi hata hazijakomaa anawaonyesha dole la kati kisa eti baba yake boss wa usalama qmmkewalai
Kwenye akaunti ya instagram ya John Heche.Aloo iko wapi hiyo
Abdulqadir, fala mmoja hivi bottom lgbtq.Dk huyo anayeongea kwenye Video ni yule jina lake linaanzia na FAHI* ?