Nchi inapaswa kujua Lissu alikuwa anawasiliana na nani na maudhui ya mawasiliano yalikuwa yapi

Ujinga kama huu wako ni maanguko ya nchi yetu.
 
Mpaka kina mzee Makamba walidukuliwa na wala haikuwa kwa maslahi ya taifa, bali madaraka ya dhalimu magufuli. Huo mchezo wa kudukua simu za watu ulifanywa sana na dhalimu magufuli, na lengo lake halikuwa maslahi ya taifa bali kuwakomoa na kuwapoteza waliokuwa wanampinga.
 

The Government Really Is Spying On You — And It’s Legal​

Consumer data has become a lucrative commodity, and the US government is buying.

POLITICO illustration/Photos by iStock
By STEVEN OVERLY
02/28/2024 05:00 AM EST

The freakout moment that set journalist Byron Tau on a five-year quest to expose the sprawling U.S. data surveillance state occurred over a “wine-soaked dinner” back in 2018 with a source he cannot name.
The tipster told Tau the government was buying up reams of consumer data — information scraped from cellphones, social media profiles, internet ad exchanges and other open sources — and deploying it for often-clandestine purposes like law enforcement and national security in the U.S. and abroad. The places you go, the websites you visit, the opinions you post — all collected and legally sold to federal agencies.
Ujinga kama huu wako ni maanguko ya nchi yetu.
Kweli?
 
Mpaka kina mzee Makamba walidukuliwa na wala haikuwa kwa maslahi ya taifa, bali madaraka ya dhalimu magufuli. Huo mchezo wa kudukua simu za watu ulifanywa sana na dhalimu magufuli, na lengo lake halikuwa maslahi ya taifa bali kuwakomoa na kuwapoteza waliokuwa wanampinga.
 
Kwenye hii kesi Apple walishinda kimahakama, kisheria. isipokuwa FBI wali outsource kwa kampuni nyingine inayo crack device. Weka akilini apple hawakutaka kutoa access sababu ni violation na wanaweza kufunguliwa civil suit na wangeshindwa kesi na kuvuruga biashara yao
 
Inategemeana japokuwa ku sheria na rules zinazo allow hayo, hiyo kitu lazima iwe allowed na vyombo vya kisheria ili zifanyike.
How? Kuna federal laws which allow violation of privacy kama muhusika ataonekana ni threat kwa national security. Lakin lazima mtu huyo aharifiwe, afunguliwe kesi mahakamani, mahakama itoe ruhusa
 
Hoja hapa serikali ilizipata au haikuzipata? Na ilifanywa nini?
 
Hupaswi kudukua mawasiliano yoyote ya mtu ingawa serikali nyingi zinadukuwa mawasiliano ya watu lakini wanafanya hivyo kwa siri ukiwagundua unaweza ukawashitaki na wakakulipa hela nyingi sana. Udukuzi ni kosa kubwa sana.
 
Kaka punguza ku copy online articles ku justify hili. Hiyo spy ware inaitwa pegasus, na inatumika kinyume na sheria katka nchi nyingi ku spy watu ambae serikal ina dhani ni tatizo kwao.
Kisheria ina ruhusiwa? No

Is why hizi allegation zilipoibuka ilikuwa ni tatizo kubw akwa ISO group ya israel, wao wanasema wanauza tu but hawa determine inatumikaje
 
soma post umalize. Ni legal only musika akiwa deemed mshtakiwa na akiwa na kesi.

kinyume na hapo ni illigal spying, na hii muhusika ana uwezo wa kuishtaki serikali na akalipwa fidia.

Na hao ni US, wenyewe wana sheris tofauti. Hapa kwetu sheria zetu haziruhusu katu moaka kibali cha mahakama. Kinyume na hapo serikali ime violate law
 
Ni hivi utafatiliwa ukiwa tishio kwa utawala legally or illegally, ipo
duniani. Sio fair lakini ndio ukweli. Watawala hawataki new ideas, vijana kuchukua nchi, watapambana kulinda utawala wao kutumia mbinu zozote.
 

..madai ya mtumishi wa Millcom /Tigo ni kwamba walimfuatilia Tundu Lissu kwa taratibu ambazo ni ILLEGAL / KINYUME NA SHERIA.
 

Walivyomdukua Angela Markel, vviongozi wote wa ulaya ilikuwa,kisheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…