Nchi inapaswa kujua Lissu alikuwa anawasiliana na nani na maudhui ya mawasiliano yalikuwa yapi

Kama alikuwa anafanya mawasiliano ambayo hayana masilahi mapana kwa taifa kwa nini msimkamte na kumfikisha kwenye vyombo vya kisheria (Mahakama) kuliko kujichukulia sheria mkononi ninyi wenyewe mkawa ninyi ndio mahakama, ndiyo mtoa hukumu, mkamshambulia mtu kwa nia ovu ya kumuua????
Lissu si Gaidi au Jambazi hadi umfanyie ukatili wa namna ile.
 

JF itakuwa liable maana haijafuata process za sheria. Yani serikali ije na kibali Cha mahakama.
 

Kudukua taarifa za mtu ili kumuua Hilo ni jinai.
 

Je kufanya hivyo ni halali?
 

Tigo ni wahalifu , walitoa taarifa kwa wauaji.
 
Hakuna haja ya kujbiiwa wewe juha. Sijawahi kuwa CCM. Google Edgar Hoover and malcom X, Kennedy, Martin Luther King. Watch documentary zao wenyewe wewe mpuuzi, angalia document USA government walizozitoa kuhusu hizu issues.

Malcolm x alikuwa na WA watu wa Muslim brotherhood. Ila Issue ya Lissu ni tofauti.
 

Kwa maana nyingine unakili kwamba serikali ndio ilimpiga risasi Lissu
 

Nakumbuka mkuu, mpaka alifuatilia mawasiliano ya Mbunge Shabibi na Dem mmoja alikuwa Mkurugenzi wa Gairo. Tena akadai huwa anamsumbua saa SITA za usiku.
 

Wewe msukule wa Makonda na Chura Kiziwi, sikiliza.....

Unaokoteza statements za kwenye mitandao bila hata kujua wala kuelewa mantiki (logic) yake ili mradi uufunue, uuweke wazi na uhalilishe ujinga wako....

Na napata mashaka kuwa, likely hata lugha ya malkia inakupiga chenga wewe maana ulichokipost hapa contextually, it's quite irrelevant na kilichofanywa na serikali ya Magufuli na CCM dhidi ya Tundu Lissu mwaka 2017...

Kama Tundu Lissu "was a threat to our national security or national interests" , kwanini serikali isiseme sasa ili wananchi tuelewe na tuseme kuwa, "....for these reasons, Tundu Lissu was and he's a threat until now and therefore his right to life has to be denied by shooting and killing him.."

Na nikwambie kitu chawa comte.....?

Tundu Lissu had never been, he is not and he will never be a threat to our national security or interests......!!

Nevertheless, he was a threat to CCM and John Pombe Magufuli's government existence and he's still a threat to CCM and Chura Kiziwi - Samia Suluhu Hassan's stupid failed government administration.....!

Tofautisha "taifa au nchi" na dudu linaloitwa "serikali". Hizi serikali huja na kuondoka. Nchi au taifa liko pale milele na milele. Nchi au taifa ni sharti lilindwe kwa nguvu zote....

Lakini dudu linaloitwa "serikali" linaweza kupingwa na kuzomewa from day one linapojitangaza na kuanza kazi yake iwapo lipo pale bila uhalali wa kisheria na kisiasa....

Na kamwe sio kosa la jinai kuikataa na kuipinga na kuirushia mawe ya kila aina serikali yoyote iliyo madarakani kama mtu au watu hawakubaliani nayo...

Tundu Lissu alipigwa risasi 37 na 16 kumpata sawia mwilini mwake kwa lengo kuutoa uhai wake si kwa sababu ni threat kwa national security/interests bali ni kwa sababu alikuwa na bado na ataendelea kuwa kikwazo na tishio kwa uhai wa CCM na serikali yake.....

Na ndio maana mpaka leo hamsemi lolote kwa kutuonesha "ugaidi wake" na badala yake mnajificha kwenye ujinga na upumbavu wenu kwa sababu nyie ni wapumbavu na ndivyo mlivyo....!!

Kwa hiyo acha ujinga na udanganyifu wako hapa
 
Mkuu kwani hizo taarifa ndizo zilizompiga risasi? Hivi hujui na siyo siri kuwa taarifa zako serikali inazo au wakizitaka watazipata- kwenye simu zenu hizo hakuna siri; ndiyo maana wenye akili wote wala hawazitumii
Aya wenye akili wanatumia pagers..!
 
Ila humu kuna watu wabovu wa akili kuliko majukwaa mengine yote ya kimtandao. Huyu alieanzisha hii thread kwani yeye alikuwa anamuanzishia nani na kwa lengo gani. Hivi tunanunua SIMU kuwa mapambo hadi uhoji alikuwa anaongea na nani. Yani unaanza kuhoji mawasiliano ya mtu, mbona yako hayahojiwi, na leo umeshaongea na watu wangapi je unaweza kutuambia mlikuwa mnaongea nini. Vichwa vingine ni hasara tu bora cha kuku utakunywa hata supu.
 
Lisu amepigwa risasi akiwa kwenye majengo ya serikali usalama upo full time 100%
lakini akashambuliwa na tiGO ndo walitoa ramani.

Ungekuwa wewe ndo yeye ungekausha tu au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…