BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Hii ni zaidi ya ujinga mkuu, ni ujinga wa kutishaHii inakera sana, lakini watanzania wengi hamna wanachojua ndo maana kutwa kucha ni mipira tuu.
Mjinga kama wewe huna unacho juaWewe umechukua hatua gani kiongozi au unasubiri wengine waumie kwaajili yako?
Mjinga kama wewe huna unacho jua
Uko sahihi magu alifanya hivi Watanzania ili wasijadili mambo ya nchi yao.Serikali ya awamu ya tano ndiyo muasisi wa hoja nyepesi kwenye redio na TV,ukiminya uhuru wa nyombo vya habari hayo ndio matokeo yake.
Ni mojawapo ya legacy zake mbaya sanaUko sahihi magu alifanya hivi Watanzania ili wasijadili mambo ya nchi yao.
Kabisa.Ni mojawapo ya legacy zake mbaya sana
Upo sahihi kabisa, wakibadilisha ni vipindi vya umbea
Na timu zenyewe za mpira ni mbovu ππ πTanzania ni nchi ya Kipuuzi sana fikiria kutwa nzima,vituo vya Radio na Television maada ni Mpira yaani hata Brazili sio hivyo, Brazili wanao penda mpira bado hatujawafikia.
Hakuna Maada nyingine utaisikia kwenye hivi vituo zaidi ya Yanga na Simba kutwa nzima, wanaanza kujadili mpira kuanzia asubuhi hadi usiku.
Vijiwe vya kahawa the same, mtu unakuta kachoka mbaya ila kelele hizo za Yanga na Simba utamtaka.
Sasa wale walioko kwenye muungano wa OPEC ya kufilisi nchi wao wanajitoea mali za nchi. nchi inapigwa wajinga kutwa nzima n Maaada za Yanga na Simba.
Mshairi wa Warumi wa kale Juvenal aliandika katika kitabu chake cha kejeli "Satires" kuwa , ukitaka kuwatawala watu wa kawaida, unatakiwa kuwapatia mkate na michezo.Tanzania ni nchi ya Kipuuzi sana fikiria kutwa nzima,vituo vya Radio na Television maada ni Mpira yaani hata Brazili sio hivyo, Brazili wanao penda mpira bado hatujawafikia.
Hakuna Maada nyingine utaisikia kwenye hivi vituo zaidi ya Yanga na Simba kutwa nzima, wanaanza kujadili mpira kuanzia asubuhi hadi usiku.
Vijiwe vya kahawa the same, mtu unakuta kachoka mbaya ila kelele hizo za Yanga na Simba utamtaka.
Sasa wale walioko kwenye muungano wa OPEC ya kufilisi nchi wao wanajitoea mali za nchi. nchi inapigwa wajinga kutwa nzima n Maaada za Yanga na Simba.
Huoni kama wanachojua ni mpira tuHii inakera sana, lakini watanzania wengi hamna wanachojua ndo maana kutwa kucha ni mipira tuu.