Umenikumbusha kuna madogo hawa wanaosomea fani za mining vichwa vimeharibika ....wanakwmbia ist sio gari
 
Inatia huruma sana
Imagine kipindi cha michezo redioni kinachukua masaa 3 non stop 😭😭😭
Na kuna vijana wanafuatilia mwanzo mwisho.
Je, akili ya huyu kijana itavumbua nini kipya zaidi ya Banda la chips?
 
Magu mnamsingizia tu, lkn ukweli ni kwamba matanzania mengi ni majinga, vichwani hamna kitu..hawana uwezo wa kujadili complex issues
Hakuna anayemsingizia Magu ila wajinga hufanya kila namna kumsafisha pamoja na uozo wake.
 
Ni umasikini tu, ulioletwa na ccm
Ccm wanataka hivyo ili msihahoji mambo ya maendeleo waliyoahidi kwenye ilani
 
Nakereka sana na huu ujinga wa muda wote katika ofisi, magroup, kwenye gari mada pendwa ni yanga na Simba.

Nahisi kwa vile tuna kizazi chenye vichwa visivyotaka kuumizwa (zero brain), wanapata amani kujadili vitu cheap kwa vile ndio wanaviweza.

Ukiwapa mada ya kusaidiana kudadau namna ya kutoka point A kwenda B no comment
 
Hakuna anayemsingizia Magu ila wajinga hufanya kila namna kumsafisha pamoja na uozo wake.
Unajua unapoandika jambo tena kwa confidence hivi hakikisha kwamba akilini mwako uko timamu hili usiishie kuonekana wewe ni tahira tu na mchumia tumbo mwenye maumivu yake kwa watu wenye akili.

Ndio Magu alivuruga suala zima la uwazi kwenye utoaji wa habari... haya sasa hivi hayupo kwani imeshindikana nini kurekebisha huo uozo aliowacha hili tuepukane na athari zake?

Kwa hiyo sasa hivi kila jambo lisilofaa aliloliacha tuendelee kumlaumu yeye tu badala ya kuli fix??

Huyu mama yenu mbona kuna mambo mengi tu ambayo aliona hayafai ameya fix? Kwanin hili dogo tu ameliacha kama lilivyo n nyie machawa wake mmebaki kutupia lawama kwa mtu ambaye hayupo??

Ndio maana tunasema nchii hii mang'onong'ilo mpo wengi sana na hamjijui kama akili zenu ni za panzi.
 
Ukitaka kuwakera wadanganyika wewe kuta sehemu wanajadili suala la Chama kuhamia Yanga au Aziz Ki kudate na mubetto halafu wewe uwaingizie habari za kupanda bei ya sukari au kuongezeka kwa tozo kwenye miamala .. haloo utatukanwa mpaka utamani kufa, huku ukiambiwa tafuta hela acha ufala
 
Inatia huruma sana
Imagine kipindi cha michezo redioni kinachukua masaa 3 non stop 😭😭😭
Na kuna vijana wanafuatilia mwanzo mwisho.
Je, akili ya huyu kijana itavumbua nini kipya zaidi ya Banda la chips?
Boss umevumbua nini wakuige?
 
Nape ametumbuliwa bado Makonda.
 
Kwa undani zaidi soma kitabu cha ujasusi wa kidola na kiuchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…