Nchi kukaa muda mrefu bila Baraza la Mawaziri siyo Sifa, tafadhali teua Majembe ya Kazi Ufanisi uimarike Serikalini

Anasubiri kamati ya ufundi imletee majina. Yeye kazi yake ni kuyasoma tu. Umewahi kuona wapi mtu yuko mahabusu anatolewa usiku chini ya ulinzi mkali wa maafisa usalama toka jengo jeupe na kesho yake anaapishwa eti ni Mbunge??
 
Sidhani kama ni Afya sana/ ni Sifa mno kwa Baraza la Mawaziri (Cabinet) kutoteuliwa hadi leo. Uliwataka Mwenyewe uletewe kwanini huwaamini?
Arusha toka saa 7 mchana hakuna umeme wala habari kwa umma kwanini hakuna umeme
 
Jambo la msingi wananchi wanataka liundwe baraza dogo litakalo zingatia mahitaji muhimu na lenye ufanisi, wananchi hawataki kubebeshwa mzigo wa baraza kubwa hapana, nchi yetu bado masikini hivyo tukihitaji maendeleo ya kasi basi tupunguze utitiri wa baraza la mawaziri,
Tulifanikiwa kupunguza safari Za nje, matibabu nje ya nchi, nk, hivyo tunaweza pia kupunguza baraza la mawaziri.
 
Ateue mawaziri 5 tu,
1.wa fedha
2. Mambo ya nje
3.wa ulinzi
4. Afya
5. Utumishi.
 
Katiba inataka wawepo
Nyie kumbe kweli viazi mbatata. Hiyo katiba imesema mwisho lini kuunda baraza la mawazili? Upinzani wa bongo wa hovyo sana. Akiwahi kakurupuka. Akichelewa anafikiri sifa kukaa bila mawaziri. Ndiyo maana baada ya 2015 nikakataa kuwa nyumbu.
 
Jambo la msingi wananchi wanataka liundwe baraza dogo litakalo zingatia mahitaji muhimu na lenye ufanisi, wananchi hawataki kubebeshwa mzigo wa baraza kubwa hapana, nchi yetu bado masikini hivyo tukihitaji maendeleo ya kasi basi tupunguze utitiri wa baraza la mawaziri,
Tulifanikiwa kupunguza safari Za nje, matibabu nje ya nchi, nk, hivyo tunaweza pia kupunguza baraza la mawaziri.
nchi hii ni uchumiwa kati sio maskini
baraza la mawaziri la nini? muheshimiwa rahis anatoshaaa
 
Nyie kumbe kweli viazi mbatata. Hiyo katiba imesema mwisho lini kuunda baraza la mawazili? Upinzani wa bongo wa hovyo sana. Akiwahi kakurupuka. Akichelewa anafikiri sifa kukaa bila mawaziri. Ndiyo maana baada ya 2015 nikakataa kuwa nyumbu.
Hebu fuatilia niliyekuwa namjibu shoga wewe, sio kukurupuka na kujibu tu bila kujua kwa nini nimejibu nilivyojibu.
 
Back
Top Bottom