Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
👍mramba usimfundishe Raisi wetu kufanya kazi ,ww hujui kuna makatibu wa wizara
🤣🤣teua sasa
Siku akiwa teua utasikia fulani alikuwa ana piga simu kila saa. Mzee masifaVyama viitishe press kudai Baraza la Mawaziri. Hili baraza la rais na Mawaziri wawili tena wa fedha na mambo ya nje linaweza kugeuka kuwa timu ya ufujaji...
Vipi hujapewa Ubunge wa viti maalum huko CCM?Vyama viitishe press kudai Baraza la Mawaziri. Hili baraza la rais na Mawaziri wawili tena wa fedha na mambo ya nje linaweza kugeuka kuwa timu ya ufujaji.
Tusimuamini mwanasiasa...
Hivi vikamati vidogo vinakuwaga na agenda ya siri. Kwanini baraza dogo likija kubwa litakuta wale watatu wameshakuwa na agenda nyingi za siri au wanakuwa viti vya mbele. Jambo hilo litaleta unyonge wa kushauri na kuamua kwa mawaziri wengine watakaokuja.Mmetumwa muwapigie debe wateuliwe haraka au? kimsingi tulishasema Makatibu Wakuu wanatosha sana maana hata kipindi hiki ambacho hao mawaziri wako hawapo mambo yanakwenda tena vyema kabisa , kawaambie bado sana wakae watulie wao sio wa maana sana katika nchi hii kuliko dawa maji na barabara bora kwa wananchi
Vyama viitishe press kudai Baraza la Mawaziri. Hili baraza la rais na Mawaziri wawili tena wa fedha na mambo ya nje linaweza kugeuka kuwa timu ya ufujaji....
Jibu hoja.Vyama havipo sasa.Mbona unamzimu wa vyama?Huyu anataka baraza LA mawaziri wewe unarudi kwrnye vyama.vipi bwana!!Vyama vipi unavyoviongelea. Wapinzani walikuwanachelewesha maendeleo wakati wao sasa wa kupumzika na kukaa kimya tuache nchi ikiongozwa vile wananchi tunaona wanataka.
according to the whims of the self proclaimed 'high and mighty' mjua vyote na muweza vyote.Hii serikali inaongozwa ná tailored according to the needs.