Nchi nyingi nilizotembelea mikate ni chakula ila huku kwetu ni kitafunwa

Nchi nyingi nilizotembelea mikate ni chakula ila huku kwetu ni kitafunwa

Uko sahihi. Watu wa pwani wako vizuri kimapishi.
Labda vyakula vya kulamba lamba kama tupilau na tubiriani. Mapishi yako bara.....kila aina ya rojo na masotojo. Ndio maana mkija likizo kutoka huko daresalama mnatuletea vijuice Ila mkiondoka mnabeba mpaka vigari vyenu vinatoboka. Mmmmfyyuuuuuu
 
"Mmmmfyyuuuuu"..... hili neno limenipa mashaka sana na hali yako ya kijinsia kaka pembe. Jitahidi sana kutotumia maneno ya aina hiyo.
 
Mkuu umesema kweli

Ila ukizamia kidogo Tu utaona hao jamaa hawana vyakula mbadala kama kwetu TZ.

kwa mfano hapa kwetu Mwanza, mikate ni chaguo la kumi na moja huko maana kuna viazi, mihogo, magimbi, chapati (n Aina zake), maamdazi, vitumbua, kacholi, kababu, ...mikate haifikii uhondo wa hivi vyakula.

Jambo la pili kwa wenzetu mikate ndio cheapest, vyakula vingine ni ghali sana.

Ndio kusema kuhusu misosi TZ tupo vizuri mno
Mikate na Chapati zina tofauti gani? Mihogo na Magimbi nini tofauti?
 
Tanzania ndio hakuna vyakula bwana boya wewe...ikifika jioni kila nyumba inapika wali maharage ndio maana watoto wetu hawana akili wanawaza kutiana tu
 
Slices 12!! Rey bhana hapo umetuuza,
Mimi nakula sana mkate na hata usiku huu nimetoka kula huo huo na Mayai mwanzo nilikula wali ukawa haushuki kabisa nikaachana nao nikapiga mkate wangu niko fresh kabisa,

Slices 2 tu hua sizidishi hapo.
Wew...una utani na kula mamaa...weee...Mimi mkate sishibi Kwa Kweli[emoji2][emoji2]Nile wali n.k mkate asubuhi
Usiku nikila mkate na chai nzito plus blue band na maharage na hapo asubuhi mapema chai...
 
Nile mkate nishibe?.
Kweli kila nchi na tamaduni zake, msosi pia ni sehemu ya tamaduni. Wakati bongo tunajivunia chipsi yai, au supu chapati usichukulie poa, Mrisho Ngasa na Kapombe walishindwa kucheza Ulaya kisa chipsi yai.

Turudi kwenye mada, nikiwa Cape town, nilishuhudia watu wakila soda na mikate kama mlo, Zimbabwe, Zambia, USA wataita hotdog Ila ndio huohuo, Ulaya ukipandisha bei ya mkate utapata shida Sana.

Kwa wakristo sala ya Bwana kuna ile phrase ya our daily bread imekuwa termed kama chakula, hata Yesu Alilisha watu elfu tano samaki na mkate. Mkate ni chakula sio kitafunwa Kwa wenzetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wew...una utani na kula mamaa...weee...Mimi mkate sishibi Kwa Kweli[emoji2][emoji2]Nile wali n.k mkate asubuhi
Usiku nikila mkate na chai nzito plus blue band na maharage na hapo asubuhi mapema chai...
Kuna muda hua natamani ningeweza kula chakula kingi kama wengine ila siwezi, nikishapiga vijiko vyangu kadhaa nimeshiba,
Nikinunua chips vumbi namwambia muuzaji kabisa aniwekee kidogooo ili nimalize sio ajaze nakua siwezi kumaliza.
 
Back
Top Bottom