Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Labda vyakula vya kulamba lamba kama tupilau na tubiriani. Mapishi yako bara.....kila aina ya rojo na masotojo. Ndio maana mkija likizo kutoka huko daresalama mnatuletea vijuice Ila mkiondoka mnabeba mpaka vigari vyenu vinatoboka. MmmmfyyuuuuuuUko sahihi. Watu wa pwani wako vizuri kimapishi.
"Mmmmfyyuuuuu"..... hili neno limenipa mashaka sana na hali yako ya kijinsia kaka pembe. Jitahidi sana kutotumia maneno ya aina hiyo.Labda vyakula vya kulamba lamba kama tupilau na tubiriani. Mapishi yako bara.....kila aina ya rojo na masotojo. Ndio maana mkija likizo kutoka huko daresalama mnatuletea vijuice Ila mkiondoka mnabeba mpaka vigari vyenu vinatoboka. Mmmmfyyuuuuuu
Ok Asante kwa tahadhari"Mmmmfyyuuuuu"..... hili neno limenipa mashaka sana na hali yako ya kijinsia kaka pembe. Jitahidi sana kutotumia maneno ya aina hiyo.
Mikate na Chapati zina tofauti gani? Mihogo na Magimbi nini tofauti?Mkuu umesema kweli
Ila ukizamia kidogo Tu utaona hao jamaa hawana vyakula mbadala kama kwetu TZ.
kwa mfano hapa kwetu Mwanza, mikate ni chaguo la kumi na moja huko maana kuna viazi, mihogo, magimbi, chapati (n Aina zake), maamdazi, vitumbua, kacholi, kababu, ...mikate haifikii uhondo wa hivi vyakula.
Jambo la pili kwa wenzetu mikate ndio cheapest, vyakula vingine ni ghali sana.
Ndio kusema kuhusu misosi TZ tupo vizuri mno
Wew...una utani na kula mamaa...weee...Mimi mkate sishibi Kwa Kweli[emoji2][emoji2]Nile wali n.k mkate asubuhiSlices 12!! Rey bhana hapo umetuuza,
Mimi nakula sana mkate na hata usiku huu nimetoka kula huo huo na Mayai mwanzo nilikula wali ukawa haushuki kabisa nikaachana nao nikapiga mkate wangu niko fresh kabisa,
Slices 2 tu hua sizidishi hapo.
Kaahh ..una utani na kula etii....utakua na katumbi flaat sanaaHongera kwa kweli, mimi siwezi nikizidisha tu vipande hivyo viwili siku yangu yote inaharibika, tumbo litajaa sana.
Unakula km mtoto kaahh[emoji1][emoji1]Mmh! Sidhani ila mimi sio mlaji sana ni wale wa nusu upawa imeisha hiyooo
Kweli kila nchi na tamaduni zake, msosi pia ni sehemu ya tamaduni. Wakati bongo tunajivunia chipsi yai, au supu chapati usichukulie poa, Mrisho Ngasa na Kapombe walishindwa kucheza Ulaya kisa chipsi yai.
Turudi kwenye mada, nikiwa Cape town, nilishuhudia watu wakila soda na mikate kama mlo, Zimbabwe, Zambia, USA wataita hotdog Ila ndio huohuo, Ulaya ukipandisha bei ya mkate utapata shida Sana.
Kwa wakristo sala ya Bwana kuna ile phrase ya our daily bread imekuwa termed kama chakula, hata Yesu Alilisha watu elfu tano samaki na mkate. Mkate ni chakula sio kitafunwa Kwa wenzetu.
ππππ Daaah tutafika tuu
Kuna muda hua natamani ningeweza kula chakula kingi kama wengine ila siwezi, nikishapiga vijiko vyangu kadhaa nimeshiba,Wew...una utani na kula mamaa...weee...Mimi mkate sishibi Kwa Kweli[emoji2][emoji2]Nile wali n.k mkate asubuhi
Usiku nikila mkate na chai nzito plus blue band na maharage na hapo asubuhi mapema chai...
Ushua mwingi sio ππππKuna muda hua natamani ningeweza kula chakula kingi kama wengine ila siwezi, nikishapiga vijiko vyangu kadhaa nimeshiba,
Nikinunua chips vumbi namwambia muuzaji kabisa aniwekee kidogooo ili nimalize sio ajaze nakua siwezi kumaliza.
Ndio katumbo kadogo au na mie nimekata utumbo kama shoga ako Wema[emoji1787][emoji1787]Kaahh ..una utani na kula etii....utakua na katumbi flaat sanaa
Jamaniiiiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23]Ushua mwingi sio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huku kwetu hakuna hizo habari kabisa... "" Chipsi niwekee kidogo """ alaaah πππJamaniiiiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23]