Nchi nyingi nilizotembelea mikate ni chakula ila huku kwetu ni kitafunwa

Kuna Moko mmoja aliwahi kunisimulia kuwa ngano Ina mchango mkubwa sana ktk kunoa intelligence (Capacity of mind) ya binadamu. Ndio maana race zote ambazo zimepiga hatua ktk nyanja mbalimbali chakula Chao kikuu lazima kiwe product ya ngano au ngano yenyewe.

Aliendelea Kwa kutoa Boko jingine et mahindi yaliletwa na wareno Ili kuongeza idadi ya watu katika jamii za kiafrika Ili kupata idadi kubwa ya watumwa waliokua wakiitajika huko bara Amerika.
 
Mtu kutoka porini anapojiita mwana daresalama[emoji16]
Isikuumize sana, mimi sikuzaliwa Dar, ila sasa nina umri wa mtu kuitwa mtu mzima nipo Dar, nina banda langu, mwenyekiti wa mtaa ananijua kuwa nina makazi yangu, serekali ya mtaa na ya mkoa inanitambua kama, mwana Dalisama kwanini mimi nisijione mwana darisama.

Dar ni mji tu ndugu yangu, cha muhimu mafanikio ya maisha yako binafsi, wasikiumize wana Dar.
 
Sahihi kabisa,zaidi ya pop corn na cornflakes mahindi hayana ishu Kwa wazungu
 
Zambia hawali mkate wao ni ugali na kabisa toka anazaliwa mpk anakufa
 
aseeh mimi nimeishi Zambia , mikate kwao ndio mpango mzima halafu wakipika wali wanaunga sukari
na kuhusu chapati hawajui kuzitengeneza, kuna vijichapati fulani haiivagi wanavipenda

huwa wana vichanganya na mayai, ma kabeji mabichi, na mayonezi na tomato sos

nakumbuka niliwaigi kupikaga wali wa nazi nikapika na ndizi nikazirost, wali ukanukia ulemtaa niliokuwa naishi aisee waliitana kuja kushangaa. tena kwakupanga foleni nili staajabu sana nikisema msemo wa tembea uyaone umejidhihilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…