Mamaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 5,067
- 4,434
Githeri ni ngararimo zilizochangamka blazaHapana. Ngararimo ni tofauti na githeri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Githeri ni ngararimo zilizochangamka blazaHapana. Ngararimo ni tofauti na githeri.
Ugumu wa maisha, siyo kula chakula fulani, bali hicho chakula kikupata kwa shida, sisi tunakula ugali lakini mikate ipo tele.mkuu tanzania hatuna shida ya chakula japo ipo kwa mmoja mmoja ila mkate mpaka unakuwa chakula dah nimejaribu kuvaa viatu vyao vimenibana
Githeri ni kande/makande ni chakula asili pia KWA makabila kadhaa hapa Tanzania na ni matamuBongo kuna vyakula vitamu sana. Ukienda kwa majirani utawaonea huruma vyakula vyao na jinsi wanavyovipika. Kenya wana ile githeri.
Ungeandika ugali, na sio ugari 😂tunaishia kula ugari.
Hata iweje mkate ni chakula kinachafaa kuliwa zaidi usiku, mtu katoka kupiga jembe au mpiga tofari umpe mkati na mchuzi mchana.Mkate ni ngano kinachotuchanganya wabongo ni namna ulivyotengenezwa mfano mm naweza rudi home nikakuta watoto wanakula mkate na kitimoto na maziwa hapo hata aliekula wali haoni ndani.
Mkate ni chakula safi kabisa tumezieshwa tu kula kama kitafunwa ila wenzetu wanachanganya mkate na mboga mboga unaskia burger akiweka mkate na sausage unaskia hotdog ilimradi tu watuvuruge ila ni mkate kama mkate tu
🤣🤣🤭Unilishe mkate na soda halafu nilale? Haikubaliki
HahahaaUnashiba huku mwili unakuwa bado mwepesi
Ila ugali sijui na madude gani lazm mwili ukae chini kama masaa 3 ivi kama chatu katoka kumeza mbuzi
Sijajua mtu anaishije na mkate, Mimi nikila inazalisha ( acid) kiungulia kingi tumboniKweli kila nchi na tamaduni zake, msosi pia ni sehemu ya tamaduni. Wakati bongo tunajivunia chipsi yai, au supu chapati usichukulie poa, Mrisho Ngasa na Kapombe walishindwa kucheza Ulaya kisa chipsi yai.
Turudi kwenye mada, nikiwa Cape town, nilishuhudia watu wakila soda na mikate kama mlo, Zimbabwe, Zambia, USA wataita hotdog Ila ndio huohuo,
Ulaya ukipandisha bei ya mkate utapata shida Sana.
Kwa wakristo sala ya Bwana kuna ile phrase ya our daily bread imekuwa termed kama chakula, hata Yesu Alisha watu elfu tano samaki na mkate,
Mkate ni chakula sio kitafunwa Kwa wenzetu.
Huu sasa ni ulimbukeni. Unadhani wewe ndiyo bora kuliko wengine. Unachotakiwa kujua ni kuwa chakula ni utamaduni. Unachoona ni kizuri kwako kinaweza kuwa kibaya kwa mwenzako.Bongo kuna vyakula vitamu sana. Ukienda kwa majirani utawaonea huruma vyakula vyao na jinsi wanavyovipika. Kenya wana ile githeri.
Mchawi mwiko tu vyengine vyote unaweza kupata hukohuko mahindi yapo,mboga zipo,ushindwe wewe tu kupika..Tuliozoea nguna Ulaya itakuwa mtihani