Nchi nzima wananchi wameongeza chuki dhidi ya Chama cha Mapinduzi (CCM)

Nyie chadema endeleeni kuishi kwenye limbi la uongo. Mnadanganya hadi kudanganyika wenyewe kwa kuamini uongo wenu. Kila bajeti huja na changamoto zake. Na kama chama chadema imekwisha na bado wanaendelea na uongo kwamba ccm imeiba kura na kwamba sasa inachukiwa
 
Mama amedoda mapema mno.
 
CCM ni adui wa kula mwenye akili timamu na wasema kweli pamoja na wanaotetea Haki na usawa wa raia tangia enzi za TANU&ASP na baadaye CCM tokea 1977.Kuthibitisha hilo,tazama na kusoma comments za watetezi wa CCM humu jukwaani,hawana uwezo wa kujenga hoja,wanatukana na kukejeli hoja zote za Watanzania wasema kweli na watetezi wa Haki za raia, Ukitetea Haki za Wananchi watakuita wakala wa mabeberu au mpinzani has a CHADEMA.
Ukidai Katiba Mpya unaitwa CDM,ukidai Haki unaitwa mpinzani;Je,CCM na serikali yake wanamwakilisha nani?Wanapotetea wanyonge huwa wanawatetea dhidi ya wapinzani au mabeberu?Hivi hao mabeberu huwa ni akina nani kwa mujibu wa CCM?Hivi nchi yetu ilipata Uhuru wake wa kweli au tulipewa bendera?
CCM kama chama cha siasa imewezesha nini kwa uwepo wake madarakani kwa miaka 60 iliyopita?Nchi yenye raslimali kama Tanzania kuwa tegemezi,omba omba na kutegemea wahisani kwa karibia kula kitu huku viongozi wakiishi kifahari na matumizi makubwa kwenye mambo yasiyo na tija?Watanzania wanagharamia afya,elimu,Maji,umeme nk.kwa kulipia makato na michango ya lazima.Je,kodi wanayolipa ni kwa ajili ya kustarehesha watawala?
Ah,hata maswali hayatajibiwa.Niishie halo kwa sasa.Ila anayeiunga mkono CCM na watu wake anatakiwa kupimwa akili.Siyo kwa mateso haya!
 
CCM wamelaaniwa... Tegemeo lao sasa ni polisi tu. Threshold ya Watanzania itafika tu siku moja. It is just a matter of time...
Wanawalazimisha Watanzania kuwapenda huku wakiwaumiza kula mara.Hatujapona maumivu ya mabando Mara tena tozo za miamala na line?Hawana hata aibu!Sifahamu ukiwa mwana CCM ni sawa na Ibilisi mtenda maovu?
 
Uko sahihi. Wanaounga mkono ccm kama hawanufaiki na mfumo wa ccm basi ni matahira. Huwezi kuwa mtetezi na mfuasi wa CCM unless wewe pia ni mnufaika wa uhalamu wake
 
Hili la sasa liko wazi. Sio stori za kuambiwa. Magroup yote ya maccm iwe whatsap au mitaani yanalialia kama yamefiwa tena.
 
Wafe tu. Ikibidi na huyu nafe kama analeta ukuda. Unaafuta Magufuli kumisiwa. Hakuna mpenda haki anayem-miss Magufuli. Alikufa na aoze huko aliko.
Mpenda haki na amani hana tabia za kupenda watu makatili na waovu
 

Pamoja na yote mama alikuwa Bujumbura:



Hili litakuwa la kina Sirro na hawa vihere here na viduku vyao vichwani.
 
Mama amepoteza mtaji wa kisiasa aliokuwa nao siku 100 za kwanza madarakani,mambo yatakua magumu sana kabla ya nchi kubwa huru tena.
 
Umeandika upuuzi mtupu! Kwa upinzani upi haswa wa kumfanya Magufuli atumie gharama kupora uchaguzi?? Yaani hata Magufuli asingefanya kampeni ilikuwa wazi kuwa angeshinda kutokana na kupendwa na kukubalika kwake katika mioyo ya watanzania na hakuwa na mpinzani wa kumfikia hata robo.CCM ya sasa ina/itachukiwa na wanaCCM kadhaa kwa kuacha kufuata misimamo ya Magufuli na kukengeuka na kuruhusu juhudi zote zilizofanyika katika kipindi chake katika kuinua uchumi kuwa bure.Mfano takwimu zinaonyesha tangu afariki uchumi umeshuka,Wizi,Uzembe na ubadhirifu umerejea kwa kasi,Hakuna uwajibishaji,Mifumuko ya bei,Mafuta na miamala ya simu,Kuruhusu chanjo ya Covid,Safari zisizo na tija kwa taifa,Ujambazi kurejea ni baadhi tu yatakayowafanya wanaCCM kuchukia serikali iliyopo kwa kushindwa kusimamia fikra za hayati Magufuli na wengine kumpinga hadharani wakati huu ambapo hatupo naye.Watanzania si wajinga,Tuna macho na tunaona yanayoendelea.
 
Pamoja na yote mama alikuwa Bujumbura:

View attachment 1857389

Hili litakuwa la kina Sirro na hawa vihere here na viduku vyao vichwani.
Umeandika pumba moja ya ajabu sana.Waliofanya haya ni wateule wa Mama.Wahuni hawateuliwi wala hawatokani na mtu mwema.Mhuni huteua wahuni wenzake na mtu mwema huteua watu wema wenzake.

Hii maana yake ni kwamba hawa wahuni walioweka watu ndani leo wametokana/wameteuliwa na mhuni.Sisi tunamsakama mhuni alieteua wahuni kwa kuwa mtu mwema hawezi kuteua wahuni kuwa wasaidizi wake.
 

Sanaa ya vita haijawahi kuwa wazi kwa kila mtu.

Bila ya kuanza na kibwagizo hiki --- "kwa mawazo yangu ..." Ni wazi kuwa hujajitendea haki.

In war devide them, separate them and don't deny them of an exit strategy.

Vinginevyo, mbona hata panya atakumaliza?

Tafakari chukua hatua.
 
Hapana mzee. Mama kaibgizwa chaka. Hii bajeti ni ya mwenda zake pesa alitapanya kwa kuhonga ashinde uchaguzi. Ziliisha na haya ndio madhara yake
Huna mama si ndio? Au ndo umeamua kujifanya kibweka wa Samia?
 
Kwamba huwezi kukuta Matangopori yamechanganyika na matango halisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…