Nchi nzima wananchi wameongeza chuki dhidi ya Chama cha Mapinduzi (CCM)

Nachoweza sema ni kuwa sasa wamejipandisha daraja na wapo ngazi ya maharamia sasa.
 
CCM wamelaaniwa... Tegemeo lao sasa ni polisi tu. Threshold ya Watanzania itafika tu siku moja. It is just a matter of time...
Polisi hawazidi 50,000 nchi nzima, wananchi ni zaidi ya milioni 30 (hapo nimeondoa under 18 wote). Hii ni sawa na kusema kuna wananchi 600 kwa polisi mmoja. Sasa hapo kusema shida ni polisi inatokea wapi? Ni uoga tu wa wananchi!
 
Vijana wa bavicha ni wajinga sana,!
.
Mlikuwa mnasema Magufuli amewabana na juzi tu haoa nkawa nnafurahia kifo chake mkisema mnapumua!

Alafu ukome kutujumlisha wote! Mimi siyo miongoni mwa hao raia unaosema! Utusitusemee tafadhali
Kifo Cha muuaji Magufuli Ni faraja kwa Taifa.
Muuaji Magufuli ndio kamuachia mama zigo la mavi na gunia la misumari alibebe kichwani.
Magufuli alikua Ana matumizi ya hovyo kuliko Raisi yoyote,hakuwa na njia nzuri za kukusanya Kodi zaidi ya ujambazi sasa Samia kakuta hakuna fedha anatapatapa tu.
Hatumwachi kwa sababu wote Ni zao la CCM.
Wacha mjifunze CCM hovyo nyie.
 
Juzi kasema kuna akiba ya kutosha sasa wewe mbugilambugila unasemaje kakuta hakuna hela?

Alafu unaposema ni muuaji, kamuua nani?
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Vijana wa bavicha ni wajinga sana,!
.
Mlikuwa mnasema Magufuli amewabana na juzi tu haoa nkawa nnafurahia kifo chake mkisema mnapumua!

Alafu ukome kutujumlisha wote! Mimi siyo miongoni mwa hao raia unaosema! Utusitusemee tafadhali
Umepanic hadi hueleweki ulimaanisha nini!! Tulia anza upya labda tutakuelewa. Eh! Ulitaka kusema?
 
Kama ni mazuri nenda sasa,Kwa nini upo hapa Tz.

Umesoma histori huko unaamini amini tu.ndio maana mnaburuzwa tu.
Wewe uburuzwi?.au unajishaua tu hapa.Acha ubinafsi wakijinga wakati hata uko kwenu kunanuka umaskini.
 
Vyovyote unakavyoisema bado maana ni ileile. Watanzania ni wachoyo sana. Hakuna mtu anataka kujitoa kafara kwa ajili ya nchi. Ngoja CCM na serikali yake waendelee kutupiga per rectal (PR) fingers.
Polisi hawazidi 50,000 nchi nzima, wananchi ni zaidi ya milioni 30 (hapo nimeondoa under 18 wote). Hii ni sawa na kusema kuna wananchi 600 kwa polisi mmoja. Sasa hapo kusema shida ni polisi inatokea wapi? Ni uoga tu wa wananchi!
 
Wewe uburuzwi?.au unajishaua tu hapa.Acha ubinafsi wakijinga wakati hata uko kwenu kunanuka umaskini.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ufukara unakusumbua ww.unataka serikali ije ikuwekee hela mfukoni.

Acha kulia lia,pambana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…