Nchi ya ajabu: Tunafuta bima ya afya ya watoto tunapitisha wake za vigogo walipwe posho

Hilo la posho kama ni kweli wananchi tukilikubali tutakua wajinga wa kiwango cha mwisho duniani.Kwasabu hizo ni dharau nyingi sana watakua wametufanyia.
 
Mkuu hapa umecross red line.

Nathubutu kusema mimi siyo mjinga ndiyo maana siyo mbunge na sijawachagua hao
 
Wewe umenielewa nilichokizungumzia kuhusu huo udini wako usiokuwa na faida kwenye dini?
 
GENERALIZATION...

Hivi idadi ya wake wa hao vigogo iko kiasi gani ?!!!

Acha roho ya husuda....inakuumiza tu nafsi yako [emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kama unaona ilo ni sawa kwenye nchi kama hii isiyo na mbele wala nyuma utakua mjinga mwandamizi.Kwasababu ata kama angekua ni mmoja kumlipa ni ujinga.
 
hela za kununua magoli ya simba na yangu zipo ila BIMA YA WATOTO inamaliza hela..
 
Jamaa wapo ajili ya kuibia wanyonge pekee
 
Acha tulindane kwanza sisi tuendelee kula mema ya Nchi! Hao wengine badaeeeee!!!
 
Na wabunge wameongezewa posho. Wananchi wamelala huku. Vijana wanajadili sex na mpira muda wote. Wacha wapigike.
 
Niliwahi kutoa maoni hapa. Ingependeza sana. Kuliko kutoa milioni 92 kuchangia zawadi ndondo cup, au milioni 500 zawadi kwa Taifa Stars, na kununua magoli ya Simba na Yanga kimataifa, basi wangelekeza fedha hizo mahali hapa.

 
Wapo tayari kuona watoto wa wanyonge wanakufa
I wish wananchi wangekuwa wadadisi na kuona jinsi kulivyo na vifo vingi vinavyotokana na huu uongozi mbovu wa CCM wangechoma nchi moto. Nchi yenye umaskini eti kuna mtu anaitwa naibu waziri mkuu na anatembea na ulinzi wa watu wengi, ukihoji kuna wajinga wanasema ''kwani hujui ni waziri mkuu, anastahili.'' Rais anafanya kufuru ya kutowa fedha nyingi kwa wachezaji wa mpira, watu wanashangilia. Wabunge wanaongeza mshahara maradufu watu wanajadili bongo flavour. Acha wapigike mpaka kunako..
 
Tumebaki na kete mbili tu ili ujinga na upumbavu wa kwenye mnduku kama huo uishe,1.maandamano none stop nchi nzima 2.mapinduzi ya kijeshi .hao akina Salma kikwete na hoja zao ndio ile ile aina ya wabunge wapumbavu tunaozungumzia kila siku ambao hawajali mtu yoyote na wamelewa hivyo hawamtambui mtu yoyote zaidi matumbo na familia zao.
 
Hii ni laana si bure. Viongozi wamekuwa na tamaa iliyopitiliza na kutokuwa na huruma kabisa kwa wananchi waliowachagua.
 
Ukweli huu uongozi ni mbovu sn
 
Hoja hii ya kuwalipa wenza wa viongozi ilipelekwa bungeni na mtu mpumbavu asiyejua hata wakati na nn aongee na kwa sababu ilitoka kwa mtu mpumbavu ndio maana hata hoja yenyewe ni ya kipumbavu tu.Na Bunge kama lina wenye Akili wala upumbavu huu haupaswi kujadiliwa na wenye akili.huu ni wa kubeba na kutupa chooni.
 
Imeshapitishwa mkuu + kuwekewa kinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…