Nchi ya Finland yaanza maandalizi ya vita

Urussi amesema Finland na Sweden kama wanataka kujiunga na NATO mpaka kati yake na wao utalindwa kwa Nyuklia.

Yaani ataenda kusimika vichwa vya nyuklia mpakani kabisa vikiwachungulia usiku na mchana.
 
Duh
 
na uzuri nyuklia sio kwamba anazo urusi peke yake so wanachama wa nato wanaopakana na urusi na wao wakiamua kuweka manyuklia mipakani itakuwa hatari kwa urusi pia.
 
Bila shaka NATO ndio wanataka iwe hivyo na itakuwa, huko mpaka tuingie mikataba ya kuheshimiana vya kutosha.
 
Urussi amesema Finland na Sweden kama wanataka kujiunga na NATO mpaka kati yake na wao utalindwa kwa Nyuklia.

Yaani ataenda kusimika vichwa vya nyuklia mpakani kabisa vikiwachungulia usiku na mchana.
Kabla ya hapo si alisema atakaejiunga atakiona cha moto,kumbe sasa imekuwa mikwara mbuzi tu. Watajiunga na hana la kuwafanya.
 
na uzuri nyuklia sio kwamba anazo urusi peke yake so wanachama wa nato wanaopakana na urusi na wao wakiamua kuweka manyuklia mipakani itakuwa hatari kwa urusi pia.
Kabisa,jino kwa jino.Kila siku anatishia Nuklia utadhani anazo peke yake,tena zake wala hajawahi kuzitest kama za US walau watu walishashuhudia kule Nagasaki na Hiroshima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…