Nchi ya Israel ina sera gani kuhusu mtu mweusi kiujumla?

Ningependa kufahamu taifa la Israel lina sera gani kuhusu mtu mweusi?

Je, mliowahi kufika huko, level ya ubaguzi wa rangi ikoje?

Je, unapatikanaji wa huduma katika public areas ukoje kwa mtu mweusi?

Nawasilisha
Israel is a big deal for other reasons. Vitabu vikongwe ndio vimeandika Sana habari zake.

Israel (Taifa) lilifutwa kwenye uso wa Dunia kwa miaka elfu nyingi. Halikuwa na ardhi, fedha yake, utawala wala lugha.

Miaka ya 1918 hapo baada ya vita vya Kwanza vya Dunia, ikazaliwa Amsha Amsha iliyoitwa Zionist movement. Amsha hii ilizaa Matunda mwaka 1947-48 hapo ambapo Umoja wa Mataifa ulitambua uwepo wa ardhi ya Israel. Kilichofuata ni vita za mara kwa mara dhidi ya majirani zake. Maajabu Israel imekuwa ikiibuka mshindi mara zote. Na inaposhinda inateka ardhi na kutanua mipaka ya Taifa Lao. Ndani ya Miaka 70+ limekuwa na utajiri mkubwa, nguvu kubwa za Kijeshi na command kubwa Duniani.

So far naendelea na utafiti binafsi kufahamu kuhusu Israel. Na sababu hasa zinazofanya hili Taifa liwe lilivyo sasa. Hili la mtu mweusi na Taifa la Israel sijalifanyia kazi bado.
 
Reactions: Qwy
Ningependa kufahamu taifa la Israel lina sera gani kuhusu mtu mweusi?

Je, mliowahi kufika huko, level ya ubaguzi wa rangi ikoje?

Je, unapatikanaji wa huduma katika public areas ukoje kwa mtu mweusi?

Nawasilisha
1. Rabbi mkuu wa Israel aliwaita watu weusi nyani
Rabbi mkuu ni equivalent ya askofu mkuu ama sheikh mkuu.


2. Wa Ethiopia wayahudi waliokwenda Israel wanawake wao walipewa dawa za kufunga vizazi ili wasizaliane.

3. Israel hawataki wakimbizi weusi wengine wanawalipa ili waondoke nchini mwao.

4. Kuna ofa zinatolewa Israel raia ukimkamata mkimbizi mweusi unapewa hela kama milioni 20.

5.hata hao polisi weusi wa Israel hawana hadhi, kila siku wanapigwa na weupe.
 
Mkuu maisha yako yote unavyo IAngalia Saudia world cup lini umeona haina mchezaji mweusi? Tunisia inabeba kombe la Africa kiungo wao mkabaji mweusi, Hao misri wanabeba kombe la Africa winga teleza ile alikuwa je?

Qatar leo hii wanaenda world cup na karibia nusu ya kikosi weusi
 

Nchi nyingi za waarabu au Middle East kama anavyotaka wengi wa wachezaji ni weusi maana ndio wenye uwezo mzuri na mahiri kwenye riyadha zote
 
Hizo myth za kwamba watu weusi wanaonewa sijui zinatoka wapi..!! Wengi tunajishtukia wenyewe tu ..hakuna mtu mwenyew time na mtu mweusi kwenye dunia hii ya sasa.
 
Nazungumzia watoto wakike wanafanyiwa ukatili wa kufa mtu huko
Hujaona ukatili wanaofanyiwa ma hausiGeli huko huko nyumbani tz umeona kwa mwarabu tu. Huko tz ndo balaa na mshahara mbuzi wakati huku ausGeli tu analamba mshahara wa mtu wa degree hapo bongo. Wachache waliofanyiwa ukatili usifanye ukajumuisha wote. Kuna wadada huku wa kazi za ndani wanaishi furesh tu na kila siku nakutananao masokoni sasa wewe unaesema kuna ukatili wakati uko hapo tandale kwa buza hujui chochote labda umehadisiwa tu.
 
Wewe huko Israel umefika mkuu au unabwabwaja tu hapa baadae ya kushiba makande.
 
Ukipata majibu uniulizie hali ya ubaguzi wa mtu mweusi Saudia, Oman na Waarabu kwa ujumla
Huyu ndie raisi chotara wa Oman alietawala Miongo kadhaa

Kipindi wazanzibari wanauliwa miaka ya 70 aliwachukua kibao, ukifika Oman kuna watu weusi kibao, nina ndugu zangu wengi tu kule.

Oman ni sehemu ambayo ipo highly regarded kwa wataalamu

Unaweza Pitia hapa kuona watu wakidiscuss kuhusu Oman, wengi wamefika Oman kushinda wewe

 
Nchi nyingi za waarabu au Middle East kama anavyotaka wengi wa wachezaji ni weusi maana ndio wenye uwezo mzuri na mahiri kwenye riyadha zote
Na sio Soka tu kama unavyo sema michezo yote, Ukienda Olympic wa kenya kibao wana represent nchi za kiarabu.
 
Hizo myth za kwamba watu weusi wanaonewa sijui zinatoka wapi..!! Wengi tunajishtukia wenyewe tu ..hakuna mtu mwenyew time na mtu mweusi kwenye dunia hii ya sasa.
Kuna dada Namfahamu toka hapa TZ yupo Omani Ana decorate kumbi za harusi, kwa harusi moja anapata mpaka milioni 50.

Ukiwa mtaalamu na una ujuzi wako wa ukweli popote pale utatoboa.
 
Wewe ndo mbaguzi, unauliza issue za kibaguzi baguzi tu. Acha ubaguzi wa watu weupe.
 
Magufuli alivyokuwa akiwabagua wapinzani hamuoni hadi akatabiri kufika mwaka 2020 hawatakuwepo lakini yeye ndiye hayupo. Ubaguzi upo pote tu na hauna kwao kama alivyowahi kusema Mwl. Nyerere.
Mbona wazungu wanawabagua hamuwafanyi chochote?
 
Kuja kutoka kwenye huu ujinga itakuchukua mda sana. Huu ugonjwa mbaya sana. Unatumia biblia na mavitabu ya dini ya wazungu ku judge waafrika. Unakosea sana. Acha kujidharau aisee otherwise labda ww sio african.
 
Ukipata majibu uniulizie hali ya ubaguzi wa mtu mweusi Saudia, Oman na Waarabu kwa ujumla
Mfanyakazi wa ndani auwa mama na watoto wawili




Huyu Einstein ana chuki na waarabu, na hiyo ipo kwenye damu. Sio kwamba hajui ubaguzi na ukatili unaoendelea huku, anajua lakini anajitoa ufahamu, na kama nilivyosema chuki ipo kwenye damu huyu jamaa.

Cheki hapa mkuu
 
Waarabu.wameua watz.wangapi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…