Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Hao Black Hebrew Israelites, ndio waliopelekea Waziri mkuu kutoa hiyo kauli baada ya ku claim kua wao ni Wayahudi tena asilia na wakataka waishi Israel kama raia na kupata haki zote za msingi, walikataliwa hivyo wakawa wanaishi kama wakimbizi huku wanapokea msaada kutoka Marekani,As far as i know Israel au Wayahudi ndio taifa ambalo raia wake wapo wa kila rangi, kuna weusi, kuna colored, kuna wazungu na Waarabu, kuna wale wanaitwa Mafaharasha hao ndio black Jews na most of them wanatokea Ethiopia, sasa kama wanabaguliwa au laa hilo sina hakika nalo. Kuhusu huo utofauti wao wa rangi ndio hasa unawasaidia sana kwenye masuala ya ushushushu, wapo Saudia, wapo Iran, wapo Iraq, wapo hadi huko Al Qaida na kwingine kote, yasemekana hata lile shambulio la September 11, 2001 pale world trade centre kulikua na Wayahudi wengi tu waliokua wakifanya kazi kwenye lile jengo but cha kushangaza ni kwamba, hakuna Myahudi hata mmoja aliyekwenda kazini that day, why? Is because some of the Jews wana ngozi za Kiarabu na walikua ni member wa kikundi cha kigaidi cha Osama bin Laden with a special mission, haoa ndio walilikisha information to Mosaid na Mosaid nao wakawapa taarifa Wayahudi wenzao wa New York.
Hayo ni baadhi ya ninayo yajua kuwahusu Jews na mambo yao
Kuna siku yalitokea machafuko ambapo Wayahudi waliwavamia kwenye kambi zao na kuwapiga ikapeleka vifo vya watu zaidi ya mia moja,
Mataifa mengine yalipohoji jibu lilitoka ni hilo, hao watu HAWATAKIWI na wakiachwa watasambaa kama Kansa, kumbuka Waafrica tuna ndoa za mke zaidi ya Mmoja na pia hatuna Uzazi wa mpango na hiyo ipo kwenye sheria zao hao Black Hebrew,
Serikali ya Israel ikaona mbali sana.......
"Israeli law offers citizenship for all Jews throughout the world, but the Black Hebrew Israelites could produce no evidence to substantiate their Jewish heritage. After much investigation, the Chief Rabbinate of Israel thus decided that the Black Hebrew Israelites were not really Jewish and were not entitled to citizenship."