Nchi ya Israel ina sera gani kuhusu mtu mweusi kiujumla?

Nchi ya Israel ina sera gani kuhusu mtu mweusi kiujumla?

Ningependa kufahamu taifa la Israel lina sera gani kuhusu mtu mweusi?

Je, mliowahi kufika huko, level ya ubaguzi wa rangi ikoje?

Je, unapatikanaji wa huduma katika public areas ukoje kwa mtu mweusi?

Nawasilisha
Kwani Taifa la Tanzania lina sera gani kuhusu Wayahudi? Imeandikwa wapi hiyo sera?

Vp ubaguzi dhidi ya Wayahudi? Na je kuna maeneo ya kuabudu ya Wayahudi yanayopatikana Tanzania?

Vp kuhusu upatikana wa kosher food?
 
Ningependa kufahamu taifa la Israel lina sera gani kuhusu mtu mweusi?

Je, mliowahi kufika huko, level ya ubaguzi wa rangi ikoje?

Je, unapatikanaji wa huduma katika public areas ukoje kwa mtu mweusi?

Nawasilisha
Unajidhalilisha sana, Israel awe na sers kuhusu mtu mweusi ili iweje. Kwani mtu mweusi hawezi kukamilika hadi watu wa taifa jingine wamtambue. Hivi haya mawazo ya kudhani mnatakiwa kutambuliwa huwa mnayatoa wapi. Mnatuaibisha watu weusi. We are people just like other races, we don't need recognition from other races to prove our humanity. We recognise ourselves and that's enough.

Yaani unataka population ya watu 1.2+ bilioni, itungiwe sera ya utambuzi na taifa la watu milioni chache. Haya ni mawazo yanl kindezi sana, nimekasirika.
 
Magufuli alivyokuwa akiwabagua wapinzani hamuoni hadi akatabiri kufika mwaka 2020 hawatakuwepo lakini yeye ndiye hayupo. Ubaguzi upo pote tu na hauna kwao kama alivyowahi kusema Mwl. Nyerere.
kwani 2020 si ndio ilikuwa safari tamati ya upinzani bungeni!!!
 
1. Rabbi mkuu wa Israel aliwaita watu weusi nyani
Rabbi mkuu ni equivalent ya askofu mkuu ama sheikh mkuu.

2. Wa Ethiopia wayahudi waliokwenda Israel wanawake wao walipewa dawa za kufunga vizazi ili wasizaliane.

3. Israel hawataki wakimbizi weusi wengine wanawalipa ili waondoke nchini mwao.

4. Kuna ofa zinatolewa Israel raia ukimkamata mkimbizi mweusi unapewa hela kama milioni 20.

5.hata hao polisi weusi wa Israel hawana hadhi, kila siku wanapigwa na weupe.
Kwa mwaka huu pekee sijaona mtu mjinga kama wewe!!!
 
Mfanyakazi wa ndani auwa mama na watoto wawili

Huyu Einstein ana chuki na waarabu, na hiyo ipo kwenye damu. Sio kwamba hajui ubaguzi na ukatili unaoendelea huku, anajua lakini anajitoa ufahamu, na kama nilivyosema chuki ipo kwenye damu huyu jamaa.

Cheki hapa mkuu

Huyu ndio wale viumbe wanafiki waliovaa ngozi ya kondoo wakati ndani ni mbwa mwitu, anaacha kukemea madhalimu wanayofanyiwa Dada zetu hapo hapo bongo, anaanza kubwabwaja na ya uarabuni. Wakati bongo tu hapo Kuna ukatili wa kutosha.
 
kwani 2020 si ndio ilikuwa safari tamati ya upinzani bungeni!!!
........ Lakini kwa mipango ovu ya huyo Magufuli na wala sio kwa matokeo ya uchaguzi na ndio maana Mungu amemuadhibu vilivyo na kazi yake haina makosa.
 
........ Lakini kwa mipango ovu ya huyo Magufuli na wala sio kwa matokeo ya uchaguzi na ndio maana Mungu amemuadhibu vilivyo na kazi yake haina makosa.
Mungu hapiganii haki za wasaliti.
 
Ningependa kufahamu taifa la Israel lina sera gani kuhusu mtu mweusi?

Je, mliowahi kufika huko, level ya ubaguzi wa rangi ikoje?

Je, unapatikanaji wa huduma katika public areas ukoje kwa mtu mweusi?

Nawasilisha
Upo ubaguzi sana kuna mwanang mmoja binamu yake alienda huko alibaguliwa hadi ikafika mahali akaamua kurudi Tanzania hana hamu na hao waty
 
Shida mtu mweusi hana sera yoyote kujihusu yeye na kuwaelekea wengine. Wengine wana sera kujihusu na kuwahusu watu wengine. Lkn cha kusikitisha mtu mweusi yupo yupo tu. yeye anademka ngoma wanazopiga wengine. yeye hana ya kwake.
 
Kwa mwaka huu pekee sijaona mtu mjinga kama wewe!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nkiwahi kuuliza SERA za Waarabu juu ya Wapalestina mbona hawawachukui kama wakimbizi badala yake wanakimbilia Ulaya na America??

Au Waarabu wana Sera gani dhidi ya mtu mweusi ?

Sijajibiwa.

Oman wanawaua na kuwatesa dada zetu wanaoenda kufanya kazi za ndani mijitu imekaa kimya.

Nakumbuka hadi balozi wa Tz huko Arabuni alisaidia baadhi ya wadada wa Tz wanaonyanyaswa kurudi nyumbani
 
Waacha kuchafua bandiko la watu.na udini wako
We ni mpuuzi waTZ wangapi wadada wanyanyaswa OMAN wengine wanasimulia hawatakaa waruddi huko.

TBC walishawahi kufanya mahojiano na wadada wanaonyanyaswa kingono Oman.

Hata yule msimuliaji.wa THE STORY BOOK wasap alishawahi kusimulia unyama wanaofanyiwa watu.weusi Arabuni kwa ujumla.
 
Ila wee jamaa nimekuvulia njuga. Kila kona wewe na waarabu tu, sijui walikufanya nini aise! Umeshindwa kuongelea ya hapa namna ukatili unavyendelea unakimbilia kwa waarabu wakati hujashuhudia ila umesimuliwa na kuokoteza viclip mitandaoni.

Umeona mama na wanae wameuawa hapa bongo hivi karibuni dhidi ya houseboy?

Mwaka huu kuna mama kamkill housegirl huko dar hukuyaona?

Video za matukio mengine nimekuwekea hapo juu i think umeziona, ila umekomalia waarabu tu. Aise wee jamaa unaonekana una chuki sana na roho mbaya kwa waarabu.
 
Ukipata majibu uniulizie hali ya ubaguzi wa mtu mweusi Saudia, Oman na Waarabu kwa ujumla
Huyo mwarabu mwenyewe ni mtu mweusi,ukimuona mweupe ana asili ya mchanyiko na watu wa Ulaya ya mashariki,toka enzi za mababu na bibi,wakizungu walioletwa kama watumwa,nakuona na waarabu(weusi wa asili),ndio kupatikana weupe(mchanganyiko).

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Ila wee jamaa nimekuvulia njuga. Kila kona wewe na waarabu tu, sijui walikufanya nini aise! Umeshindwa kuongelea ya hapa namna ukatili unavyendelea unakimbilia kwa waarabu wakati hujashuhudia ila umesimuliwa na kuokoteza viclip mitandaoni.

Umeona mama na wanae wameuawa hapa bongo hivi karibuni dhidi ya houseboy?

Mwaka huu kuna mama kamkill housegirl huko dar hukuyaona?

Video za matukio mengine nimekuwekea hapo juu i think umeziona, ila umekomalia waarabu tu. Aise wee jamaa unaonekana una chuki sana na roho mbaya kwa waarabu.
Huyo houseboy anahusikaje na Ubaguzi wa rangi?? Mbona articles zipo nyingi na mavideo YouTube? Kuhusu waarabu hasa wa OMAN
 
Huyo houseboy anahusikaje na Ubaguzi wa rangi?? Mbona articles zipo nyingi na mavideo YouTube? Kuhusu waarabu hasa wa OMAN
Hao unaoita waarabu wa Oman,ni weusi,hao wanaotesa wafanyakazi ni machotara wa kiarabu na wazungu,toka mababu na mabibi zao,ndio ukawaona weupe,muarabu sio mweupe ni mweusi.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom