Huu ujinga wa kujiona na kujihisi unabaguliwa sijui utaisha lini! Hapa bongo mabinti wanapigishwa kazi na mishahara midogo lakini itaonekana kitu cha kawaida, lakini ikitokea kwa mwarabu afanyishwe hivyo itaonekana unyanyasaji.. mfano! Wewe hapo akuite mkuu
bhachu wewe ni kima/sokwe si utakuchukulia poa na wala hutamind! lakini white akuite hilo neno utalichukuliaje!
Kwanza kabisa housegirl wa kibongo wengi wao ni mzigo tu, wavivu sana na muda mwingi wako kwenye simu wakichati na mashoga zao na wengine wanachati na mijanaume huku wanaacha kilichowapeleka huko, je,huo mshahara anaopewa utakua wa halali!!! Anapewa laki 4 hadi laki tisa na kidogo kwa mwezi alafu anakuharibia kazi nawe umwangalie tu!!! Bosi anapigika huko jangwani ili tu apate kuishi na familia yaje na kumpatia mshahara housegirl wake, alafu binti lenyewe halibebeki!!! Hata kama ni mimi mzee siwezi kuvumilia huo mzigo wa kuchati chati na kulalalala, lazima nimtimue tu. . Ndio maana unakuta wengine wanashindwa kuwaajiri hawa madada wa kibongo, uganda, kenya, rwanda, ethiopian n.k, na hupelekea kuwaajiri wahindi, nepal, bangladeshi, indonesia na wafilipini.