Nchi ya Israel ina sera gani kuhusu mtu mweusi kiujumla?

Hao Black Hebrew Israelites, ndio waliopelekea Waziri mkuu kutoa hiyo kauli baada ya ku claim kua wao ni Wayahudi tena asilia na wakataka waishi Israel kama raia na kupata haki zote za msingi, walikataliwa hivyo wakawa wanaishi kama wakimbizi huku wanapokea msaada kutoka Marekani,

Kuna siku yalitokea machafuko ambapo Wayahudi waliwavamia kwenye kambi zao na kuwapiga ikapeleka vifo vya watu zaidi ya mia moja,

Mataifa mengine yalipohoji jibu lilitoka ni hilo, hao watu HAWATAKIWI na wakiachwa watasambaa kama Kansa, kumbuka Waafrica tuna ndoa za mke zaidi ya Mmoja na pia hatuna Uzazi wa mpango na hiyo ipo kwenye sheria zao hao Black Hebrew,
Serikali ya Israel ikaona mbali sana.......

"Israeli law offers citizenship for all Jews throughout the world, but the Black Hebrew Israelites could produce no evidence to substantiate their Jewish heritage. After much investigation, the Chief Rabbinate of Israel thus decided that the Black Hebrew Israelites were not really Jewish and were not entitled to citizenship."
 
Source ya taarifa yako ni ipi??

Unakumbuka operation Solomon waliwahamisha hawa Waethiopia (black JEWS) wanini kama hawakuwahitaji??
 
Wewe na waliokuzaa ndio mna laana
 
Hivi kwanini linapokuja swala la nchi ya Israel watu hurukwa na akili nakuleta mihemuko ya ajabu? Mkuu kauliza swali huenda kapata kibarua au kaalikwa kwanini usimjibu km ushawahi kuishi au km hujawahi ishi kwanini usinyamaze. Israel imekuwa km Mungu haihojiwi na ukiihoji utajibiwa majibu ya hovyo from no where!
 
Ulibisha mambo haya ya waarabu nlipokuambia

Yaone hapa[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]View attachment 1851470
 
Je, mliowahi kufika huko, level ya ubaguzi wa rangi ikoje?

Je, unapatikanaji wa huduma katika public areas ukoje kwa mtu mweusi?
Mie nimefika Chuo chao maarufu pale Galilea GIMI kiko Mji Nazareth.
Nilikaa mwezi mzima pale ila nilitembelea sehemu mbalimbali za Israel.
Sikuona ubaguzi wowote, nakumbuka tulikuwa tukitumia canteen moja na wenyeji pale Chuoni.
Ni wakarimu , wanajali na hupenda sana kujifunza toka kwa wageni.
 
Ulibisha mambo haya ya waarabu nlipokuambia

Yaone hapa[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]View attachment 1851470View attachment 1851471
Binadamu sio wote tunapendana, huyo SADA PODA anaesema alikua anatamani kwenda lakini akaambiwa asijaribu ataenda kunyanyasika tu huko haswa kingono akaona asikilize ya walimwengu.. huyo aliemwambia maneno haya kwanza alitakiwa ampime kabla ya kuchukua maamuzi ya kutokwenda uarabuni, huenda hakumtakia mwenzie afanikishe kama ambavyo yeye amefanikisha.


Huyo GIDE MCHAFU, hajui kuwa wako waarabu na wahindi waliozaliwa na kukulia huku! Tena waarabu kama sio asilimia 100 basi 95 wamezaliwa huku na kukulia huku, hawa huwezi sema sio wazawa. Eti wanakalia nyumba za msajili, hajui kuwa hizo nyumba za msajili walijenga wao wenyewe wahindi nyerere akaja kutaifisha! Hii ni dhulma kubwa mno wamefanyiwa wageni.


Huyo salha suleyman amewaona wasichana wengi sana wakiteswa huko, huo kama sio unafiki ni nini! Je, tutajuaje ayasemayo kama nikweli!

Tatizo lenu mnapenda kuzungumzia ya waarabu tu, tena bila ushahidi wowote, lakini ya huku mnajitoa ufahamu kana kwamba hayatokeagi. Haya bana


Leo mke kamuuwa mumewe kwa kumchoma moto hadi kufa kisa wivu wa mapenzi. Huu sio ukatili ila kwa waarabu ni ukatili 🤣🤣🤣🤣
 
Magufuli alivyokuwa akiwabagua wapinzani hamuoni hadi akatabiri kufika mwaka 2020 hawatakuwepo lakini yeye ndiye hayupo. Ubaguzi upo pote tu na hauna kwao kama alivyowahi kusema Mwl. Nyerere.
Ila wanao kutuma wakulipe vizuri.

Mtu Amepumzika kwa baba ake wa milele

We umekazana tuu Magufuli magufuli.

Watu kama ninyi sijui....?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Sera ya mtu mweusi ipoje mkuu
Nimejiuliza sana maana yake nini, nimeshindwq pata majibu. Maana kuwa na sera juu ya Rangi fulani, hiyo ni Racism. Na haiwezekani serikali iwe na sera, explicitly, ya namna hiyo, hata kama kimatendo wako na ubaguzi.
 
Ningependa kufahamu taifa la Israel lina sera gani kuhusu mtu mweusi?

Je, mliowahi kufika huko, level ya ubaguzi wa rangi ikoje?

Je, unapatikanaji wa huduma katika public areas ukoje kwa mtu mweusi?

Nawasilisha
kwa taarifa yako walishakuja Ethiopia mara n yingi sana kubeba watu weusi na kwenda kuwafanya raia wa israel. wapo hadi jeshini. nchi gani nyingine duniali iliwahi kuja africa na ndege kubeba waafrica kwenda kuwapa uraia nchini kwao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…