Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,951
- 19,766
Kataa CCMNawasalimia wanabodi.
Inatia ha
Kataa ujinga,
Linda Amani ya nchi.
My friends, ladies and gentlemen,Nawasalimia wanabodi.
Inatia hasira,
Inakera,
Yaani hakuna watu nawachukia kama Wanaharakati uchwara wa hii nchi,hakuna watu nawachukia kama hawa.
Mwanzo nilikuwa nawaona ni watu wa maana,lakini kwasasa nimewapuuza mpaka basi ni wajinga na ni hatari Kwa usalama wa nchi.
Wengi wapo abroad halafu wananufaika na machafuko huku watoto wa kitanzania watoto wa masikini wakiozea kwenye kuta za magereza huku wengine wakipoteza maisha.
Ukweli ni kwamba ,
Augustine Mrema alikuwa na lengo la kuleta Mabadiliko,
Hali kadhalika Wilbroad Silaa,
Ukiondoa Ibrahim lipumba na CUF yake,waliobaki wote ni madalali na matapeli wa kisiasa ambao wapo kwaajili ya familia zao ,wanamiliki biashara na miradi mikubwa huku wakijifanya wazalendo wapigania haki na wanademokrasia,kumbe wanawatumia vijana kama mitaji ya kupata pesa chafu na haramu kutoka ng'ambo.
Huwa nazurula mitaa ya Twitter nakutana na watu ambao Wana midomo michafu na hawana hoja za msingi ,Hadi unajiuliza yaani hawa watoto wa Kiswahili, ndiyo wapewe nchi?
Kataa vurugu,
Kataa ujinga,
Linda Amani ya nchi.
Kinyume na hapo ni kupoteza wakati na kudanganyana tu 📌My friends, ladies and gentlemen,
Kwa maoni yangu na kwa heshma ya wadau wote wa JF,
Nadhani ni Chama Cha Mapinduzi CCM, pekee ndio chombo cha cha wananchi kilicholeta mabadiliko na uhuru katika taifa letu, na bado kinaendelea kuleta mabadiliko makubwa zaidi ya kiuchumi, kisiasa na kijamii nchini Tanzania kwa maslahi mapana ya taifa na waTanzania wote.
Kinyume na hapo ni kupoteza wakati na kudanganyana tu 🐒
Yes ndugu mdau wa jf 🐒Kinyume na hapo ni kupoteza wakati na kudanganyana tu 📌
Ndo unajua leo!Nawasalimia wanabodi.
Inatia hasira,
Inakera,
Yaani hakuna watu nawachukia kama Wanaharakati uchwara wa hii nchi,hakuna watu nawachukia kama hawa.
Mwanzo nilikuwa nawaona ni watu wa maana,lakini kwasasa nimewapuuza mpaka basi ni wajinga na ni hatari Kwa usalama wa nchi.
Wengi wapo abroad halafu wananufaika na machafuko huku watoto wa kitanzania watoto wa masikini wakiozea kwenye kuta za magereza huku wengine wakipoteza maisha.
Ukweli ni kwamba ,
Augustine Mrema alikuwa na lengo la kuleta Mabadiliko,
Hali kadhalika Wilbroad Silaa,
Ukiondoa Ibrahim lipumba na CUF yake,waliobaki wote ni madalali na matapeli wa kisiasa ambao wapo kwaajili ya familia zao ,wanamiliki biashara na miradi mikubwa huku wakijifanya wazalendo wapigania haki na wanademokrasia,kumbe wanawatumia vijana kama mitaji ya kupata pesa chafu na haramu kutoka ng'ambo.
Huwa nazurula mitaa ya Twitter nakutana na watu ambao Wana midomo michafu na hawana hoja za msingi ,Hadi unajiuliza yaani hawa watoto wa Kiswahili, ndiyo wapewe nchi?
Kataa vurugu,
Kataa ujinga,
Linda Amani ya nchi.
Ni kweli kabisaNdo unajua leo!
Umechelewa sana mkuu.
Mbwa takatakaNawasalimia wanabodi.

Sawa mkuu haya maneno siyo mapya tunayasikia kila sikuMbwa takataka
Tatizo ni nani atamfunga paka kengele tena shingoni?Nawasalimia wanabodi.
Inatia hasira,
Inakera,
Yaani hakuna watu nawachukia kama Wanaharakati uchwara wa hii nchi,hakuna watu nawachukia kama hawa.
Mwanzo nilikuwa nawaona ni watu wa maana,lakini kwasasa nimewapuuza mpaka basi ni wajinga na ni hatari Kwa usalama wa nchi.
Wengi wapo abroad halafu wananufaika na machafuko huku watoto wa kitanzania watoto wa masikini wakiozea kwenye kuta za magereza huku wengine wakipoteza maisha.
Ukweli ni kwamba ,
Augustine Mrema alikuwa na lengo la kuleta Mabadiliko,
Hali kadhalika Wilbroad Silaa,
Ukiondoa Ibrahim lipumba na CUF yake,waliobaki wote ni madalali na matapeli wa kisiasa ambao wapo kwaajili ya familia zao ,wanamiliki biashara na miradi mikubwa huku wakijifanya wazalendo wapigania haki na wanademokrasia,kumbe wanawatumia vijana kama mitaji ya kupata pesa chafu na haramu kutoka ng'ambo.
Huwa nazurula mitaa ya Twitter nakutana na watu ambao Wana midomo michafu na hawana hoja za msingi ,Hadi unajiuliza yaani hawa watoto wa Kiswahili, ndiyo wapewe nchi?
Kataa vurugu,
Kataa ujinga,
Linda Amani ya nchi.
Paka gani tena,Tatizo ni nani atamfunga paka kengele tena shingoni?
😂Mimi hapa. Nina chama changu hicho nakianzisha ni balaa mjini. 2028 ukiona chama kipya ujue ni changu.
Sitanii.
Mtu nitayemsajili upinzani atakuwa Lissu tu. Machadema mengine yakafie mbele!
Chuki ipi,Ungewasilisha hii mada bila ya chuki kali - misimamo mkali, ningesandika kitu.
Chuki ni makao ya shetani
Kataa wahuniKataa CCM
Kataa katiba ya mwaka 1977
Kataa mwenge
Kataa Samia Suluhu
,Hadi unajiuliza yaani hawa watoto wa Kiswahili, ndiyo wapewe nchi?
Hahahaaaa,kamata mwizi!Mistari miwili tu rangi Yako ya kijani imeonekana!Kinyume na hapo ni kupoteza wakati na kudanganyana tu 📌
Hatimaye utafutaji halali umekushinda umeona ujaribu bahati yako kwenye uchawa🤣🤣🤣 kituo kinachofuata ushoga! Tupo hapa mtakuja kunambiaNawasalimia wanabodi.