Nchi yetu inahitaji Mabadiliko kweli, lakini Nani wakuleta hayo Mabadiliko?

Chuki ipi,
Hivi unaijua chuki ya wapinzani ilivyo dhidi ya serikali

..kwanini wanaichukia serikali?

..lazima kuna mambo serikali imeyafanya ambayo yamesababisha ichukiwe na wanaharakati.

..Mfano mmoja ni suala la utekaji, na mauaji, dhidi ya wanaharakati.

..Hakuna mtu atapenda watu anaofanana nao kimsimamo, rafiki zake, au ndugu zake, watekwe, wateswe, au wauwawe.

..Badala ya kuteka, na kuuwa, serikali ilipaswa kutekeleza madai ya wanaharakati, na kama haiwezi itoe sababu zinazoeleweka.
 
Unaweza kunitajia waliotekwa walau watatu kuthibitisha post yako
 
Anao mpaka Leo?Hujui kuwa alivunjwa mkono huku mkewe akipigwa mpaka kuvunja damu?Unajua waliofanya hayo?
Kama alikiuka taratibu za polisi ulitaka wafanyaje,kazi ya jeshi la Polisi ni kulinda Raia na Mali zake.sasa ukikiuka na kutaka kulipanda kichwani jeshi lazima nguvu itumike kukutuliza.

Police force
 
mabadiliko wapi jomba?,dunia ioo kama ilivyo,dunia haibadiliki iko hivyo hivyo daima,hata Yesu alitumwa alete mabadiliko na alishindwa,sijui labda heche ataweza,lakini sidhani,,kama yesu mwenyewe alishindwa,John Jeche ataweza kweli?..!!😁,braza mabadiliko yanakuja unapokufa tu,hapo ndo unapata mabadiliko,mwili unageuka kuwa mbolea,Roho yako inageuka kuwa mzimu,,🤗😂,hii ya kudanganya sijui slaa ataleta mabadiliko,mara sijui lisu,mara sijui lipumba,ni kujilisha upepo tu,mabadiliko pekee hapa duniani ni kufa tu
 
Hakuna ushahidi wa hao watu kama walitekwa na serikali

..Na serikali haijaweka ushahidi wowote wa maana kuwa haihusiki na utekaji wa wanaharakati.

..Utekaji umedumu kwa muda mrefu na ndio chanzo cha imani kwamba una baraka za wakubwa serikalini.

..Maelezo ya Sativa kwamba watekaji walimpitisha ktk vituo vya Polisi ni ushahidi tosha kwamba Polisi ndio waliojaribu kumuua.
 
Kwahiyo unataka kuamini kila neno la Sativa hatua Kwa hatua,au hujui sativa alitubiwa na serikali hii
 
Wewe una akili sana
 
waliopo nje hawana kazi za maana wanaandika ujinga mitandaoni kama sehemu ya faraja, usiwe na wasiwasi hawatofanikiwa lolote wamedhibitiwa kila kona ndio maana wanakimbia nje hatimaye Pambalu karudi kadakwa na twaha naye muda huu anapakwa mafuta, mange ameshachoka sasa hivi na maraia sarungi anapumulia mashine, jiulize waliokwenda ubalozi wa marakani wamepata nn kama sio kupuuzwa, nchi ipo salama kama huitukani serikali utaishi kwa amani.
 
Kumbe nchi inapewa, na nani!!???

 
Hivi ni kweli unalipwa niambie tafadhali
 
Hakuna mabadiliko yoyote yatakayotokea hii nchi ilisha kufa na kuoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…