Nchi yetu inahitaji Mabadiliko kweli, lakini Nani wakuleta hayo Mabadiliko?

Hivi ni kweli unalipwa niambie tafadhali
kulikoni maoni yangu huru na ya ukweli jukwaani yakukere gentleman, badala nawe utoe mawazo yako mapya, mbadala na bora zaidi yangu au mdau mwingine yeyote yule wa Jf?

tumia vizuri haki na uhuru wako wa kutoa maoni jukwaani bila makasiriko na itapendeza zaidi gentleman 🐒
 
Sawa
 
Kama alikiuka taratibu za polisi ulitaka wafanyaje,kazi ya jeshi la Polisi ni kulinda Raia na Mali zake.sasa ukikiuka na kutaka kulipanda kichwani jeshi lazima nguvu itumike kukutuliza.

Police force
Ulikuwa ni unafiki tu,wewe mfia Chama huna jipya Hapa!
 
Huwa napenda Sana majibu yako ya utulivu
 
Huwa napenda Sana majibu yako ya utulivu
Yeah,
ni kweli,
huwa daima sina pesha kabisa kwenye taaluma yangu, dhidi ya maoni ya aina yoyote ile ya mdau wa heshima wa jf, whether ni mwanasia mwandamizi au mvamizi tu wa sayansi ya siasa jukwaani.

I always love them all,
because they make me more stronger with new ideas with new political formations daily
 
Ndivyo mlivyofundishwa kutumia uongo kuchukia wanaharakati?

Uzuri huna akili. Mistari miwili tu tayari umeonyesha rangi yako ya chama cha watekaji
 
Ndivyo mlivyofundishwa kutumia uongo kuchukia wanaharakati?

Uzuri huna akili. Mistari miwili tu tayari umeonyesha rangi yako ya chama cha watekaji
Akili anazo Baba na mamako waliounganisha tupu zao ukazaliwa wewe

Mimi ni CCM damu mshamba wewe
 
Acheni kufarijiana ujinga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…