Uchaguzi 2020 Nchi yetu inakwenda kumpata Rais mpya kabisa kutoka kwenye chama kipya kabisa

Kumbe hata wwe huna uhakika Kama Lissu atakua Raisi wako!? Ila najua unauhakika kabisa Magufuli ndiyo Raisi,sema mkumbo tu ndiyo unakupoteza njia!!
Wewe upo kwenye mkumbo wa wa kukariri zidumu fikra zisizo za mtukufu mwenyekiti wa CCM
 
Wale Mabeberu aliyokuwa anayetetea bungeni umesahau?

Kama sio Rais Magufuli madini yetu yasingekuwepo
Lisu kafanya usariti upi? Kuna usariti kama kuiba pesa kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge? Kununua Ndege kienyeji kwa cash kula 10%? Kutafuna trilion 1.5 kisha kumtoa CAG kafara?
 
Waambie mkuu mpango wa Mungu hauzuiliwi!! Jamaa aliyeamrisha Lissu apigwe risasi airport anaporejea na kuwa kelele zitavuma na kuisha alichukuliwa na Mungu mwenye mpango wake siku Lisu alipopanda Ndege huyu ni yule aliyelazwa Lupaso power house ya Ubabe wa Magu.
Wale waliompiga risasi dodoma wameisha na wengine viwete RIP Nyaulingo!
Makondo kinara aliyekuwa dodoma kipindi cha hit force ya Lissu inafanya tukio. Yuko hana rafiki duniani haruhusiwa hata kukanyaga ardhi nje ya hii ya Tz. Hii imemfanya hata magu kuachana naye kwa sababu Naye Magu anaelekea kwenye No fly ban.
Na bado wanaomzuia wote watapatwa na jambo lile ambalo Mungu huwafanya wanaoingilia mpango wake ==Kifo.
Huyu Magu ameshafanya kufukuru za kutosha- amekataa ushauri wa binadamu wote Jambo ambalo hata Mungu hakufanya- Kumbuka Mungu alimsikiliza Musa.
Kwa Heri Magufuli Karibu Tanzania Mpya!
 
Kwa hiyo ninaamini Msaliti wa Nchi atapata hata kura laki tano?

Mwaka huu tunawafundisha adabu

Hiyo mbinu ya wakuu wa wilaya kuendelea kuwapa vitambulisho vya kura kwa mlango wa nyuma wenye kadi A ccmhaitawabeba. Safari hii hamtaamini macho yenu, na mkichezea tu box la kura lazima kilichotokea Kenya kitokee na hapa.
 
Piga spana kwa Wasaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu [emoji38][emoji38]
 
Ila wenye IQ kubwa tumemuelewa vizuri sana ujumbe wake!! Siyo kila mtu humu akariri Kama tulivyo karirishwa shule be free sometimes!!
IQ kubwa ya vichambo?!Unafanya mzaha kama aliechora hiyo picha ya Magufuli katika avatar yako!
 
Wale Mabeberu aliyokuwa anayetetea bungeni umesahau?

Kama sio Rais Magufuli madini yetu yasingekuwepo

Kuna mkataba wowote wa madini kasaini Lissu nchi hii?
 
Vipi bungeni alikuwa anawatetea Mabeberu ?
October msaliti wa Nchi akiwaletea hata wabunge wawili mkatambike
Mpenda haki hajawahi kuwa msaliti hats siku moja.
 
Nilizaliwa miaka mingi iliyopita. Nikakutana na amani, furaha na upendo. Mbona kadri siku zinasogea hivi vitu adimu vinapotea? Ninasikitika sana. Halafu ukiwa mkweli watakuita mpinzani. Haya yalinikuta mwaka 2015 nilichukia sana wizi na ufisadi ulioimaliza nchi kiasi kwamba nilitamani upinzani uchukue nchi. Ni kwa vile sina influence ya siasa na kwenye chama changu nami ningehama kama walivyohama vingunge. Nilibaki tu kushabikia kama wenzangu walivyokuwa wanashabikia. Nikashtukia naitwa mpinzani tena Chadema wakati hata sijawahi kuwa hata na ukaribu na wanachadema wenyewe na isitoshe toka nizaliwe sijawahi hata kuhudhuria mkutano wachama chochote japo nina kadi ya chama tokaJuly 1990. Mimi nikiona mambo ya uonevu na wizi huwa ninachukizwa sana. Na nikuhakikishie kitendo cha kudhamiria kabisa kumuua Lissu kilinisikitisha sana. Hatakama angekuwa na kosa gani lakini hiyo ni mtanzania mwenzetu. Na huwa mimi siyo mpiga kura na kura ya kwanza nilipiga 2015 na ya pili nitapiga 2020 baada ya hapo nitaendelea na UTARATIBU wangu wa kutopiga kura. Nitaendelea kutumikia watanzania wote popote pale nitakapokuwa. Naumia sana moyoni mwangu.
 
Piga spana kwa Wasaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu [emoji38][emoji38]

Na ww umeng'ang'ana na neno piga spana ili uonekane unaenda na maneno ya fashion ya mjini, kumbe ni jizee fulani lililopoteza ramani. Wala huna mvuto wa kutumia hilo neno maana linawafaa zaidi vijana.
 
Muulizeni msaliti wa Nchi Kwanini bungeni alikuwa akiwatetea Mabeberu waendelee kuchimba madini bila mkataba?
Kuna mkataba wowote wa madini kasaini Lissu nchi hii?
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… , ajiandae kuandaa sababu baada ya kushindwa
 
Vipi bungeni alikuwa anawatetea Mabeberu ?
October msaliti wa Nchi akiwaletea hata wabunge wawili mkatambike

Wabunge wa upinzani wanapatikana kwa kura za wananchi, nyie ccm ndio mnasubiri kupewa na rais maana ni chama cha watoa rushwa.
 
Wale Mabeberu aliyokuwa anayetetea bungeni umesahau?

Kama sio Rais Magufuli madini yetu yasingekuwepo
Magufuli alikuwepo wakati mwaka 1998 Lisu alipoanza kupiga kelele juu ya mikataba mibovu ya madini je? huyo magufuli alifanya nini mwaka 1998 zaidi ya kupitisha mikataba mibovu?
 
We unamuona tobo lilivyogeuka kuwa tobo la wapigaji na hasa acacia .hawa ninmajangili kama majangili wengine
Yaani hao Wanasheria Majingili tena wamejaa sana hata kwenye Mahakama zetu! Baada ya Uchaguzi naomba Magufuli apamulike kwa Upana sana na awachomowe wote waende na Mpiga deal mwenzao huko uhamishoni!!
 
Piga spana kwa msaliti wa nchi, lissu atapigiwa kura robert[emoji28][emoji28]

Unaambiwa Robert anawachamba kama mzaramo[emoji28][emoji28] ukiingia twitter anaoga matusi ya kufa kutoka kwa Watanzania.
Ccm ilishakufa polepole na bashiru ni wachumia tumbo awajui siasa awaijui ccm walimshauri boss wenu vibaya
 
Bunge lipi, hilo bunge kibogoyo?
Bunge la CCM ndilo bunge hupitisha mikataba mibovu kisha baada huja mtu toka CCM na kujidai anaikosoa kujirekebisha ili apate kisingizio cha kupiga pesa toka kwa wale ambao watatikiswa na ndivyo walivyofanya utawala huu wenye ufisadi mkubwa huku deni la Taifa likizidi kuwa kubwa mara dufu kila kukicha
 
Unakufuru sana, kufananisha watu wa kwenye vitabu vya kidini, na hawa wanasiasa wa karne hii. Hakuna yoyote anyeweza kutimiza yalifanywa na Daudi. Wanasiasa wote wa sasa ni waongo na kauli zao hazina ukweli. hawajui kutimiza ahadi zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…