Uchaguzi 2020 Nchi yetu inakwenda kumpata Rais mpya kabisa kutoka kwenye chama kipya kabisa

Kampuni zote zililetwa na CCM magufuli alikuwa Bungeni na pia alikuwa kwenye baraza la mawaziri hakuwahi kupinga au hata kutoa maoni kipindi hicho
Sasa tulieni arekebishe hayo mapungufu! Kumbe anayajua! Basi naimani ataya solve! Kuliko kumpa mtu asiyeyajua au anayajua kijujuu tu!!
 
Ccm ilishakufa polepole na bashiru ni wachumia tumbo awajui siasa awaijui ccm walimshauri boss wenu vibaya
Juzi juzi wamemshauri atoe pesa za kuidhoofisha chadema kawapa lakini wameziminya wanasoma upepo maana wanaona hali ni ngumu mno, wakiona vipi watazichukuchia iwe ni kiinua mgongo chao kwani wanahofia baada ya uchaguzi watafikishwa CCM au kuvuliwa madaraka
 
Sasa tulieni arekebishe hayo mapungufu! Kumbe anayajua! Basi naimani ataya solve! Kuliko kumpa mtu asiyeyajua au anayajua kijujuu tu!!
Lisu ndiye aliyapinga tokea 1998 yeye anajua zaidi kuliko mtukufu magufuli mnufaika wa mabaya yao kwa kipindi kirefu
 
Mkuu,mm sikuchangia kama shabiki wa kisiasa,nimechangia mmada Mimi kama Mimi,naona umenichukulia kama shabiki wa chama fulani,fuatilia comments zangu,sina mambo hayo Mkuu.
 
Hiyo mbinu ya wakuu wa wilaya kuendelea kuwapa vitambulisho vya kura kwa mlango wa nyuma wenye kadi A ccmhaitawabeba. Safari hii hamtaamini macho yenu, na mkichezea tu box la kura lazima kilichotokea Kenya kitokee na hapa.
Kumbe nyinyi mnataka machafuko yatokee ndiyo shida yenu!? Mwana Kulitafuta Mwana Kulipata!! Nakukumbusha tu!!
 
Hivi huyu Amsterdam hajakutana na Wazaramo wenye Nchi yao waamchambe hadi azimie, akiamka hapo nduki hadi Ulaya!!
Kwenye twiter yake anapata kichambo cha maana tu! Sema ndio hivyo kaahidiwa madini hivyo lazima akaze moyo
 
CCM hakuna mtu safi CCM hakuna malaika wote wapo after money, utawala huu wenye mikwara visasi uonevu unyanyasaji mwingi kuna ufisadi kuliko Tawala zote tokea Nchi ipate uhuru, wanachofanya ni kupiga dili kupiga pesa kisha kuzuia mikutano ya siasa kuwanyima uhuru vyombo vya habari na vitisho vingi huku wakiwatumia wakuu wa mikoa wilaya mawaziri wakurugenzi na Polisi wa ccm kulazimisha kupendwa, kumsifu mtukufu kwa kilajambo
 
Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani pesa za viwanda pesa za maendeleo zote zinatumika kudidimiza demokrasia badala ya maendeleo
 
Na ww umeng'ang'ana na neno piga spana ili uonekane unaenda na maneno ya fashion ya mjini, kumbe ni jizee fulani lililopoteza ramani. Wala huna mvuto wa kutumia hilo neno maana linawafaa zaidi vijana.
Wwe endelea kujidanganya humu,huwezi kumjua mtu humu kupitia hicho kio cha simu yako!!
 
Uje tena baaada ya October useme Ccm ilishakufa

Tutawafundisha mwaka huu, lissu akiwaletea hata wabunge wawili mkatambike
Ccm ilishakufa polepole na bashiru ni wachumia tumbo awajui siasa awaijui ccm walimshauri boss wenu vibaya
 
Uyu JPM
 
Leo anasikia anaenda kunywa chai kwa mama ntilie pale ubunge
Hamtaki afanye kampeni na sasa hamtaki hata atembee mitaani? Wewe ni mnufaika wa utawala huu dhalimu wa kidikteta si tayari umetajirika kupitia blackmail iweje kutwa unahangaika na lisu? Tulia ule mali zako haramu ulizochuma kupitia mgongo wa unyama wenu
 
Uje tena baaada ya October useme Ccm ilishakufa

Tutawafundisha mwaka huu, lissu akiwaletea hata wabunge wawili mkatambike
Sasa mnapiga magoti ya nini.
 

Attachments

  • Screenshot_20201006_123555.jpg
    96.1 KB · Views: 1
  • Screenshot_20201006_222500.jpg
    43.8 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1601975787508.jpg
    101.3 KB · Views: 2
Uje tena baaada ya October useme Ccm ilishakufa

Tutawafundisha mwaka huu, lissu akiwaletea hata wabunge wawili mkatambike
Wewe ndiyo utatambika kukwepa aibu kwani hutaamini kuwa Tumeccm inaenda kuumbuka uchakachuaji utafeli kwa nguvu za mungu
 
Kumbe nyinyi mnataka machafuko yatokee ndiyo shida yenu!? Mwana Kulitafuta Mwana Kulipata!! Nakukumbusha tu!!
Mnaotaka machafuko ni nyinyi mliozoea kunajisi box la kura. Ni kweli mtatupiga sana, ila baada ya kutupiga ni lazima tutaheshimiana, watakaoongozwa unyama huo wakiishia pabaya. Kamtazame Elbshir wa Sudan ana hali gani kwasasa baada ya kufanya mauaji makubwa kwa watu wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…