Licking Wounds
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 3,979
- 5,146
H
Mkuu FRANCIS DA DON ni nchi zipi hizo walizong'oa miundombinu,kuchoma maghala na kutia sumu visima? Unaweza kujitajia?Watu bilioni 1.5 wanafanyakazi usiku na mchana, kwa miaka zaidi ya 60 ya uhuri, na bado hatuna hata ambulance tu za kueleweka ni shida.., pesa zote zinaenda wapi? Commomwealth sisi mtego wetu upo IMF na World bank.., kataa kukopa pesa uone kitakachokupata,uliza Djibouti walifanywa nini baada ya kugoma kukopa. Yaani. Unakopa Trillion 2 kwenye makaratasi, mkopo wenyewe hauji, ila unatakiwa ulipe Trillion5 na riba, mnamuonea mama wa watu bure kumuuliza pesa alizokopa zimeenda wapi, mnamuonea bure! Hakuna anaependa kufa jamani, huo ushujaa alikuwa nao jiwe tu! Tuombe sana aje mwingine atakaekuwa tayari kufa, kama Burkinafaso walivyompata yuke dogo..