Nchi za Afrika zagawanyika katika upigaji kura kuhusiana na Vita vya Russia na Ukraine, Tanzania yachagua kutofungamana na upande wowote

Nchi za Afrika zagawanyika katika upigaji kura kuhusiana na Vita vya Russia na Ukraine, Tanzania yachagua kutofungamana na upande wowote

Nadhani issue siyo sera ya Non-Aligned movement ambayo umuhimu wake haupo tena, na wala Tanzania haijawahi kuhudhuria mkutano wa NAM tangu mwaka 2012 wakati Bilal aliiwakirisha Tanzania huko Iran. Tatizo la tanzania hapa ni uongozi wa kibabaishaji.
Mwalimu hili fungua uzi maalum wa kutoa somo. Inawezekana kwenye hili hadi watu wetu wa diplomasia wamejikoroga.
 
Nadhani issue siyo sera ya Non-Aligned movement ambayo umuhimu wake haupo tena, na wala Tanzania haijawahi kuhudhuria mkutano wa NAM tangu mwaka 2012 wakati Bilal aliiwakirisha Tanzania huko Iran. Tatizo la tanzania hapa ni uongozi wa kibabaishaji.
sahihi
 
Safi sana serikali yetu. Wazungu waachwe wenyewe wafanye mambo yao watakavyo. Wakiamua kuuana na waendelee na wakiamua kuishi ni juu yao. Sisi wameshatuua sana so hatuna urafiki wa kweli na wao hawana urafiki wa kweli na sisi' ndio mana wanatuleta maradhi na vifo kila kukicha
 
Siku Wakigombana Mama yako na Baba yako najua utaelewa namaanisha nini!?
I assume you were not normal when you sent this comment. Ukrain and Russia conflict cannot be compared with ones parents. Hopeless.
 
Kwa hiyo Africa nzima mwanamme 🇪🇷 peke ake.. Wengine wote ndo sampuli ya wanaume wa Dar
 
Back
Top Bottom