Nchi za Kiarabu muda wa kuishinda Israel ni sasa

Kuwapokea ni kukubali kuwaachia nchi watu ambao si yao.Kinachotakiwa ni kuwasaidia wabaki pale walipo na kuwafungulia wanaotaka kwenda kuwasaidia waende huko.
Kwann una kambi za wakimbizi hapa nchini? Ni za kazi gani? Ni sehem gani nyingine umewah sikia lina mgogoro wa aina hiyo alafu majiran woooote wakagoma pokea wakimbizi?

Hawapokelewi kwasababu ya tabia zao , leo unawapokea mko na aman vizuri kesho mabomu ya kujitoa mhanga kila mahali
 
Hamas naye ana mabwana zake.

Ana nchi 56 za kiislam. Analia lia nini sasa?
Au nchi za kiislam zimemtelekeza?
 
Kwahiyo wa Israel waliouliwa na hammas sio binadamu ni mbuzi hawahitaji msaada huu unafiki wenu wakianzisha uchokozi kisha mkijibiwa mnakuja kutafuta huruma mnaonewa

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Ni udhalilishaji wa hali ya juu huu wanaofanyiwa wapalestina.Eti watu milioni na laki moja wahame haraka ndani ya masaa 24.Maskini wanawake na watoto wanapata tabu huku Marekani ikitoa kauli za kifedhuli zaidi.
Kiongozi mmoja wa wizara ya mambo ya nje anasema hataki kusikia kauli ya kuitaka Israel kusitisha vita au kutafuta suluhu ikitolewa na afisa yoyote katika mazungumzo yake na vyombo vya habari
 
Mngekuwa mnayajua haya msinge wavamia juzi jumamosi kwa sababu walikuwa wametulia zao.

Jmosi iliyopita ilikuwa ni sherehe kwenu kwa kuwaua na Alah wakbaru za kutosha. Mmejibiwa leo mnatafuta huruma na kulia lia.
 
wayahudi wamlilie myahudi mwenzao? Usilete vichekesho.

huyo waluwabambikia watu wakawaambia mungu wenu huyo. halafu ndugu zake mungu wakamfanyia uhuni waliowaaminisha kuwa huyo ndiyo mungu wenu. Dah, inasikitisha, mungu aliyelilia msaada kwa mungu wake.


Hakika duniani wajinga ndiyo waliwao.
 

Acha uongo, ufaransa Ina waarabu wahamijaji wengi Sana.
 
Acha uongo, ufaransa Ina waarabu wahamijaji wengi Sana.
Huo ni ukweli 100%.

Regions with significant populations of Arabs in Europe
France4,000,000-7,000,000
Spain1,600,000–1,800,000
Germany1,401,950
Netherlands682,873
8 more rows

Arabs in Europe - Wikipedia​

 
Jumamosi si mlikuwa mnashangilia huku mkisema Allah Akhbar ? kimsingi Israeli inataka kusafisha ukanda wa Gaza ili kung'oa mizizi yote ya ugaidi. Hamas wana uungwaji mkono wa Iran, Hezbollah na makundi mengine. Lengo la Marekani, Uingereza na Ufaransa ni kuzuia /kutoa kitisho kwa waliokuwa wanajipanga kuungana na Hamas kwenye vita. Hii itaipa Israeli muda wa kumshughulikia Hamas kwa uhuru wote.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 

Hapo Ufaransa ilifanya kosa la kuachia mazombi yenu yakahamia, na ndio hayo yanataka kufanya maandamano, hakuna mwenye akili zake anayeweza kuunga mikono walichokifanya HAMAS, labda nyie ambao kwenye dini yenu ushetani ndio huwa umekithiri.
Nimependa sana huu uzi wako maana umekiri mwenyewe meli kubwa ya kijeshi kuzidi zote, yaani nguvu inayotumika kwa haya maandalizi ni ya hali ya juu, Iran na mataka taka yote ya Uarabuni itabidi wakae hamna kitu watafanya.
 
Hamas nao wajinga Sana, wakati wanavamia hawakujua madhara yake?. Ngoja tuone huko kaskazini watafanywaje.
 

Punguza uongo. US hajatoa pesa. Walichofanya ni kuachilia pesa za Iran zilizokuwa zinashikiliwa Mataifa mbali mbali.
 
Hata mimi huwa najiuliza, Waarabu wako wengi wanashindwa nini kuteteana na kuamua liwalo na liwe?

Waliwahi kujaribu wakapigwa wote. Na ndio chanzo Cha mgogoro huu wa Palestine, haza Gaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…