Nchi za Kikristo zinawezaje kuishi kwa amani namna nii?

Nchi za Kikristo zinawezaje kuishi kwa amani namna nii?

Hizo nchi zina UTAJIRI wa aina yoyote mkubwa kama MAFUTA?

Zinaingiliwa na nchi zingine katika chaguzi zao, migogoro yao ya ndani n.k?

Hadi umri huo hujui kwanini baadhi ya nchi za imani tofauti na UKRISTO zinapigana vita vya kutengenezwa? Au umeamua kujifurahisha?
Wewe ndo hujui hizi nchi asili yawatu wake wana akili sana hii ni Visvesa kwa waarabu
 
Ukweli mchungu: Tutate tusitake hao jamaa wamefanikiwa sababu ya uelewa na akili nyingi na sio nchi za Kikristo tu tuseme nchi za Wazungu. Waislam wamekuwa wepesi wa kurubuniwa sababu ya kuamini sana 'extremism' na kuacha kufikiri matokeo ya baadae najaribu kuliweka sawa hili ili nisijitukane maana mi mwenyewe Muislam.

Watawala wa dunia wametumia mbinu ya kugombanisha watu husika ili kufanikisha mambo yao na hata Wazungu kabla ya kujitambua walishapigana sana miaka hiyo kuanzia vita za ndani (wenyewe kwa wenyewe), za kidini na za nchi na nchi. Sasa wao walishastaarabika wamejua adui nani nani rafiki. Hatakama vikundi vya mlengo wa kulia vipo lakini huwezi kusikia wameanzisha mauaji dhidi ya wale wasioamnini itikadi zao.

Kwa dunia ya sasa wajinga wamebaki Africa na Asia (sana nchi za kiarabu) tunauwana kwaajili ya mali na dini wenyewe kwa wenyewe au na majirani zetu wakati huo mtawala wa dunia anafaidika na mali zetu
 
Vizuri Sana, mtu anapofikia lever hii ya uelewa ndipo sasa tunamjuza zaidi.
Maandiko yanasema wazi; yesu mwenyewe anatuambia kwamba "baba Ni mkuu kuliko Mimi" so yesu Ni Mungu lkn sio mkuu kuliko baba yake hivyo basi hata sisi tulio watoto wake Ni miungu pia lkn hatuwezi kumzidi yesu Wala Mungu baba.
Habari za utatu niletee maandiko yanayozungumzia utatu mtakatifu tutaelewana.
Mkuu mie sizungumzii nani mkubwa au mdogo nilitaka kujua kama Yesu nae ni Mungu? Umenipa jibu la kunichanganya kabisa kuwa hadi sisi pia ni miungu. Ndio maana nasema kwanini mnalazimisha kusema Mungu ni mmoja tu wakati mnaamini katika miungu?

Mkuu hakuna tofauti ya kupinga utatu halafu bado unaamini Mungu zaidi ya mmoja.
 
Sasa unataka kunipinga Mimi au unapinga maandiko? Wala usichanganyikiwe mtaalam. Mtoto wa Mungu Ni Mungu iko hivyo na ukitaka kujua zaidi Ni kwamba; unajua kwanini tunakufa? Au kwanini tulikatazwa kula tunda? Sababu Ni hiyohiyo ya umungu ndani yetu. Tumeumbwa kwa sifa zote za kimungu.
 
Wingi. Tumewateremshieni.....
Sawa ni kauli ya wingi ila ni kipi kilichokufanya uone kuwa huo wingi ni wa Miungu? Na kama mnataka kutumia wingi huo kuonesha kuwa kuna Mungu zaidi ya mmoja ina maana wakristo mnaamini katika Mungu zaidi ya mmoja?
 
Sasa unataka kunipinga Mimi au unapinga maandiko? Wala usichanganyikiwe mtaalam. Mtoto wa Mungu Ni Mungu iko hivyo na ukitaka kujua zaidi Ni kwamba; unajua kwanini tunakufa? Au kwanini tulikatazwa kula tunda? Sababu Ni hiyohiyo ya umungu ndani yetu. Tumeumbwa kwa sifa zote za kimungu.
Ndio maana nasema kuwa kwanini mnaendelea kusema kuwa Mungu ni mmoja tu wakati mnaamini katika miungu? Yani mimi hoja yangu ipo hapo kwamba sasa wakristo mkubali kuwa mnaani Mungu zaidi ya mmoja hakuna haja ya kujilazimisha kusema Mungu ni mmoja wakati hamuamini hivyo.
 
Sasa kumbe shida hapo hujui maana ya Mungu ndio tatizo.
 
Sawa ni kauli ya wingi ila ni kipi kilichokufanya uone kuwa huo wingi ni wa Miungu? Na kama mnataka kutumia wingi huo kuonesha kuwa kuna Mungu zaidi ya mmoja ina maana wakristo mnaamini katika Mungu zaidi ya mmoja?
Basi tusiendelee na mjadala tumeshapata jibu. Kwetu Kuna... Natuumbe mtu kwa mfa....
Kwenu kuna.... Tumekuteremshieni.....

Sasa Kama haikuwa miungu alikuwa na Nani?
 
Sasa kumbe shida hapo hujui maana ya Mungu ndio tatizo.
Hakuna tafsiri moja ya neno Mungu, hivyo hata mimi natamani kujua wakristo wana tafsri gani kuhusu Mungu kutoka na jinsi wanavyoeleza kuhusu Mungu.
 
Basi tusiendelee na mjadala tumeshapata jibu. Kwetu Kuna... Natuumbe mtu kwa mfa....
Kwenu kuna.... Tumekuteremshieni.....

Sasa Kama haikuwa miungu alikuwa na Nani?
Tumepata jibu kvp hapo? Hujanijibu nilichokuuliza ila unakimbilia kwenye hitimisho.

Sasa kama hiyo "tuuumbe" ina kusudia wingi mbona tena mnasema Yesu(mwana) ndio aliyetuumba?
 
Tumepata jibu kvp hapo? Hujanijibu nilichokuuliza ila unakimbilia kwenye hitimisho.

Sasa kama hiyo "tuuumbe" ina kusudia wingi mbona tena mnasema Yesu(mwana) ndio aliyetuumba?
Nakupa maelezo, badae takupa maandiko.

Ok mbinguni hakuwepo yesu pekee, Kuna malaika, yupo Mungu pia Kuna wazee ishirini na nne wamekizunguka kiti Cha enzi na wote hao wapo kwa ajili ya kutenda kazi. Sidhani Kama kitabu chenu kinaeleza haya lkn biblia inaeleza vizuri.
 
Hakuna tafsiri moja ya neno Mungu, hivyo hata mimi natamani kujua wakristo wana tafsri gani kuhusu Mungu kutoka na jinsi wanavyoeleza kuhusu Mungu.
Mungu Ni cheo Ni Kama ukuu ndo sababu Mungu anajina/ majina yake halisi. Kuna Yehova, yahwe, yesu nk.
 
Nakupa maelezo, badae takupa maandiko.

Ok mbinguni hakuwepo yesu pekee, Kuna malaika, yupo Mungu pia Kuna wazee ishirini na nne wamekizunguka kiti Cha enzi na wote hao wapo kwa ajili ya kutenda kazi. Sidhani Kama kitabu chenu kinaeleza haya lkn biblia inaeleza vizuri.
Unaona sasa! Kumbe huo wingi hata kwenye biblia haujakusudia wingi wa Mungu.
 
Hizi ni baadhi ya nchi zinazo endeshwa kwa misingi ya kikristo na huwezi kuwa kiongozi wa dola ikiwa wewe si mkristo Malta, Armenia, Vatican, England, Denmark, Norway, Iceland nk.

Swali langu ni kwanini huwezi sikia vikundi vya waasi wa kilokole au waasi wa kikatoliki wakiwa msituni wakimpambania mola wao?

Kwanini nchi nyingine kama Syria utasikia sijui wa sunni wameingia msituni kupambana na wasia? Je wanafeli wapi?

Je, nchi zinazo jinasibu zinaongozwa kwa dini ya amani zinawezaje kukosa utulivu miaka nenda rudi?
Imani Yao imejengwa kwenye mizizi ya Kuua Kwa wale wasioamini miungu au mungu wao. Ni uendawazimu kulazimisha watu kua kama wewe na unawaua wale usiokubaliana nao.

Upendo pekee ndio unaleta furaha na amani katika jamii, si vitisho na Yesu alituonyesha haya katika maisha yke hapa Duniani.
 
Back
Top Bottom