Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Mungu watatu wapo kwenye utatu, Mungu baba,Mungu mwana na Roho mtakatifu.Sio lazima waelewe maana tunatofautiana uelewa. Lkn mbona iko wazi na imenyooka kabisa. Iko hivi; yesu Ni mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote kabla ya dunia na baada yakufufuka. Ukitaka maandiko unapewa.
Mungu anamtoto mmoja ambaye Ni yesu ambaye naye ametuzaa sisi. Kiufupi unaweza kuiweka hivi, Mungu Ni mmoja ambaye alimuumba/mzaa yesu kristo Kisha yesu akatuumba sisi wanadamu lkn yesu mwenyewe japo alituumba bado anatuhimiza sisi tumjue baba yake coz bila baba yake, yesu mwenyewe asingekuwepo Wala sisi tusingekuwepo. Lkn sisi tunamuona yesu Ni Mungu kwa sababu ya ule uwezo aliopewa wa kutuumba. Sasa Mungu watatu wako wapi?
Kwahiyo wewe unataka kusema Yesu kaumbwa ila pia nae ni muumbaji ila sio Mungu?