Nchi za Kikristo zinawezaje kuishi kwa amani namna nii?

Sio lazima waelewe maana tunatofautiana uelewa. Lkn mbona iko wazi na imenyooka kabisa. Iko hivi; yesu Ni mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote kabla ya dunia na baada yakufufuka. Ukitaka maandiko unapewa.

Mungu anamtoto mmoja ambaye Ni yesu ambaye naye ametuzaa sisi. Kiufupi unaweza kuiweka hivi, Mungu Ni mmoja ambaye alimuumba/mzaa yesu kristo Kisha yesu akatuumba sisi wanadamu lkn yesu mwenyewe japo alituumba bado anatuhimiza sisi tumjue baba yake coz bila baba yake, yesu mwenyewe asingekuwepo Wala sisi tusingekuwepo. Lkn sisi tunamuona yesu Ni Mungu kwa sababu ya ule uwezo aliopewa wa kutuumba. Sasa Mungu watatu wako wapi?
Mungu watatu wapo kwenye utatu, Mungu baba,Mungu mwana na Roho mtakatifu.

Kwahiyo wewe unataka kusema Yesu kaumbwa ila pia nae ni muumbaji ila sio Mungu?
 
We UNAFKIRI kujenga Nchi ni kama kucheza tu game la simu? Utawaliwe na wazungu, upate uhuru miaka zaidi ya 40 nchi yako haitawaliki akitoka huyu anakuja huyu, then upewe nchi miaka 2 itengemae?
Kumbe marekani ametawala mpk huko somalia na amekabidhi miaka 2 tu iliyopta eeeh
 
Shida ipo wapi kutoingia akilini? Kuna mambo kibao yapo ila hayaingii akilini.
Basi mimi binafsi Hilo swala la kusema Mohammad alipaa na farasi mpka mbinguni ili apewe swala tano kwangu ni hadithi kama zilivyo hadithi za paka na panya
 
Mungu watatu wapo kwenye utatu, Mungu baba,Mungu mwana na Roho mtakatifu.

Kwahiyo wewe unataka kusema Yesu kaumbwa ila pia nae ni muumbaji ila sio Mungu?
Kaumba ndio, nae aliumbwa/alizaliwa Kama maandko yanavyosema. Sasa Kama aliumba, walioumbwa nayeye watamwita Nani? Naomba jibu.
 
Watamwita muumbaji ambaye nae aliumbwa.

Sasa ikiwa Yesu ni mungu na anaeleza kuhusu huyo baba yake ambaye ni mungu pia hapo mtasemaje kuwa Mungu ni mmoja tu? Bado pia kuna Roho mtakatifu.

Sijajua kwa nini mnalazimisha kusema Mungu ni mmoja tu, kwani shida ipo wapi kukubali uwepo wa mungu zaidi ya mmoja?

Kuna mwengine anasema Mungu ni mmoja tu, ila Baba Mwana na Roho mtakatifu watatu hao wanashiriki asili ya uungu ila Mungu ni mmoja.
Ukimuuliza hao watatu wenye kushiriki hiyo asili ya Uungu ni nani wao kiasili ni viumbe au ni kina nani? Hana jibu.
 
Unaweza kunitajia mambo yaliyo katika maandiko ya biblia ambayo unaona ni sawa na hadithi za paka na panya?
Fanya uanze kunitajia wewe kwanza hadithi zilizomo kwenye Quran ambazo ni sawa na za paka na panya,,,kwa maana ww ndio ulioleta mada kuwa Kuna Mambo yapo kwenye biblia hayaleti mantiki,basi titajie pia Mambo yaliyo kwenye biblia ambayo hayaleti mantiki Kama vile (1) Mohammad kupaa mbinguni na farasi (2) Mohammad kumuoa mtoto wa Miaka tisa{9},asa hapo ana utafauti gani na (P Diddy) Puff daddy???

#Ongezea zingine hapa chini
 
Unaweza kunitajia mambo yaliyo katika maandiko ya biblia ambayo unaona ni sawa na hadithi za paka na panya?
Fanya uanze kunitajia wewe kwanza hadithi zilizomo kwenye Quran ambazo ni sawa na za paka na panya,,,kwa maana ww ndio ulioleta mada kuwa Kuna Mambo yapo kwenye biblia hayaleti mantiki,basi nitajie pia Mambo yaliyo kwenye Quran ambayo hayaleti mantiki Kama vile (1) Mohammad kupaa mbinguni na farasi (2) Mohammad kumuoa mtoto wa Miaka tisa{9},asa hapo ana utafauti gani na (P Diddy) Puff daddy???

Mimi nimekuuliza tu kama wewe unaona kwenye biblia hakuna mambo ambayo ni sawa na stori za paka na panya unaweza kusema tu hakuna basi.
Mie sijaleta mada ya kusema kwenye Biblia kuna mambo ambayo ni sawa za story za paka na panya.
 
Umesema kuwa haikuingii akilini swala la mungu kuwa na nafsi tatu Kama ilivyo kwenye Imani ya wakristo,,na Mimi ndo nakuuliza

Kwenye Quran hamna Mambo (hadithi) ambayo hayakuingii akilini pia??
 
Watamwita muumbaji ambaye nae aliumbwa.

Sasa ikiwa Yesu ni mungu na anaeleza kuhusu huyo baba yake ambaye ni mungu pia hapo mtasemaje kuwa Mungu ni mmoja tu? Bado pia kuna Roho mtakatifu.

Sijajua kwa nini mnalazimisha kusema Mungu ni mmoja tu, kwani shida ipo wapi kukubali uwepo wa mungu zaidi ya mmoja?

Kuna mwengine anasema Mungu ni mmoja tu, ila Baba Mwana na Roho mtakatifu watatu hao wanashiriki asili ya uungu ila Mungu ni mmoja.
Ukimuuliza hao watatu wenye kushiriki hiyo asili ya Uungu ni nani wao kiasili ni viumbe au ni kina nani? Hana jibu.
Mbona unaogopa kutamka? We sema tu watamwita Mungu. Acha kuzungukazunguka.
Baada ya wewe kuelewa yesu Ni Nani ndipo naweza kusema kwamba Mungu Ni mmoja na yesu kristo Ni mwanae ambaye alitumwa kutufanya na sisi kuwa wanna wa Mungu Kama yeye alivyo.
Mambo ya utatu hayo Ni ya roman, Kama una maandiko ya utatu niwekee hapa.

Yesu Kuna zawadi ambazo aliahidiwa na Mungu baada ya kuifia dhambi. Zawadi hizo Ni pamoja na kupewa wanadamu wote wawe wake.
 
Umesema kuwa haikuingii akilini swala la mungu kuwa na nafsi tatu Kama ilivyo kwenye Imani ya wakristo,,na Mimi ndo nakuuliza

Kwenye Quran hamna Mambo (hadithi) ambayo hayakuingii akilini pia??
Sikumbuki kama nimesema kuhusu kutoniingia akilini suala la Mungu kuwa na nafsi tatu labda unikumbushe, suala la jambo kutoingia akilini kwangu sio shida kabisa na ndio maana nikasema kuna mambo mengi tu yapo hayaingii akilini ila ni mambo ambayo hayana utata.

Suala la utatu shida sio kutoingia akilini bali lina utata na contradictions.
 
Mbona unaogopa kutamka? We sema tu watamwita Mungu. Acha kuzungukazunguka.
Baada ya wewe kuelewa yesu Ni Nani ndipo naweza kusema kwamba Mungu Ni mmoja na yesu kristo Ni mwanae ambaye alitumwa kutufanya na sisi kuwa wanna wa Mungu Kama yeye alivyo.
Mambo ya utatu hayo Ni ya roman, Kama una maandiko ya utatu niwekee hapa.

Yesu Kuna zawadi ambazo aliahidiwa na Mungu baada ya kuifia dhambi. Zawadi hizo Ni pamoja na kupewa wanadamu wote wawe wake.
Niogope nini wakati nimejibu kama ulivyouliza au mwenye kuumba haitwi muumbaji?

Unakataa utatu halafu bado unakubali Yesu kuitwa Mungu. Labda unijibu wazi je Yesu nae ni Mungu kama alivyo Baba yake ambaye ni Mungu au yeye Yesu si Mungu? Na kama Yesu akiwa Mungu hapo huwezi kusema kuwa Mungu ni mmoja?
 
Vizuri Sana, mtu anapofikia lever hii ya uelewa ndipo sasa tunamjuza zaidi.
Maandiko yanasema wazi; yesu mwenyewe anatuambia kwamba "baba Ni mkuu kuliko Mimi" so yesu Ni Mungu lkn sio mkuu kuliko baba yake hivyo basi hata sisi tulio watoto wake Ni miungu pia lkn hatuwezi kumzidi yesu Wala Mungu baba.
Habari za utatu niletee maandiko yanayozungumzia utatu mtakatifu tutaelewana.
 
Kwa wakristo dini ni personal, hulazimishwi kua muumini, wa waislamu dini ni community, lazima kila mtu awe na dini, ukikataa dini ni kifo na mbaya zaidi kila mtu anatafsiri yake ambayo anataka ailazimishe kwa mwenzake.
Kuna mbwiga anailiza Somalia na afghan ina utajir gan mwambie akarudi angalie gdp zao kwanza
 
Denmark, Norway na Netherlands wanachota au waliwahi kuchota mali wapi??
Hujui kitu ww utakua unazima simu ya dada yako unawajua waholanzi ww ulizia kwa waliosoma kijijini kwenu halafu urudi tena au umechanganyikiwa na hayo majina ya kizungu
 
Hizo nchi zina UTAJIRI wa aina yoyote mkubwa kama MAFUTA?

Zinaingiliwa na nchi zingine katika chaguzi zao, migogoro yao ya ndani n.k?

Hadi umri huo hujui kwanini baadhi ya nchi za imani tofauti na UKRISTO zinapigana vita vya kutengenezwa? Au umeamua kujifurahisha?
Na wakakubali kutengenezwa?
 
Niogope nini wakati nimejibu kama ulivyouliza au mwenye kuumba haitwi muumbaji?

Unakataa utatu halafu bado unakubali Yesu kuitwa Mungu. Labda unijibu wazi je Yesu nae ni Mungu kama alivyo Baba yake ambaye ni Mungu au yeye Yesu si Mungu? Na kama Yesu akiwa Mungu hapo huwezi kusema kuwa Mungu ni mmoja?
Kuna aya inasema tumewateremshieni kitabu Sasa hapo Mungu alikuwa na Nani? Na Mungu mnasema Hana mshirika
 
Back
Top Bottom